Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumapili, Februari 19, 2012

Je, Roma Itatawala Ulimwengu Tena?


 KANISA LA MTAKATIFU PETRO, ROMA


Photo Credit by: www.minutetravelguide.com

Maridhiano ya Kufisha

Mtume Paulo, katika Waraka wake wa Pili kwa Wathesalonike, alitabiri juu ya uasi mkuu ambao ungeleta
matokeo ya kuianzisha mamlaka ile ya upapa. Alitangaza kwamba siku ile ya kuja Kristo isingeweza kuja, “usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa mtu yule wa dhambi (kuasi), mwana wa uharibifu; yule  Mpingamizi [Mpinga Kristo], ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu [kanisa] la Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.” Tena, zaidi ya hayo, Mtume huyo anawaonya ndugu zake kwamba “ile siri ya kuasi hivi sasa inatenda kazi.” 2 Wakorintho 2:3,4,7. 

Hata katika kipindi kile cha mwanzo kabisa aliona yakiingia ndani ya kanisa mafundisho potofu
ambayo yangetayarisha njia ya kujitokeza kwa upapa. Kidogo kidogo, mwanzoni kwa siri na kimya kimya, na baadaye kwa wazi zaidi, ikaongezeka nguvu yake na kuitawala mioyo ya wanadamu, ile “siri ya kuasi” ikaiendeleza mbele kazi yake kwa kutumia madanganyo na makufuru. Karibu bila kutambulikana kabisa desturi zile za kikafiri zikaingia ndani ya kanisa la Kikristo. Roho ile ya maridhiano na kufanana-fanana
[na dunia] ilizuiwa kwa wakati fulani kutokana na mateso makali ambayo kanisa lilistahimili chini ya wapagani. Lakini mateso yale yalipokoma, na Ukristo ulipoingia katika mabaraza na majumba ya kifalme, ndipo kanisa lile lilipouweka kando unyenyekevu ule wa Kristo na Mitume wake na kujitwalia
ufahari na kiburi cha makuhani na watawala wale wa kipagani; na mahali pa matakwa ya Mungu likaweka nadharia zawanadamu pamoja na desturi zao. 

Kuongoka kwa jina tu kwa Konstantino, mapema katika karne ile ya nne, kulileta shangwe kubwa; na  ulimwengu [upagani], ukiwa umevikwa joho la mfano wa haki, ukatembea na kuingia ndani ya kanisa. Basi,
kazi ile ya uharibifu ikasonga mbele kwa haraka sana. Upagani, wakati ukionekana kana kwamba umeshindwa kabisa, ukawa ndio mshindi. Roho yake ikalitawala kanisa lile. Mafundisho yake ya dini, sherehe zake, na ushirikina wake vikaingizwa katika imani na ibada ya wale waliojidai kuwa ni wafuasi wake Kristo.

CHANZO CLICK HAPA

Jumamosi, Februari 18, 2012

MAJIBU YAFANYAYO KAZI...”THE WINGS OF OUR FLIGHT”


NINAPENDA KUKUJULISHA KIJIWE HIKI AMBACHO NINA UHAKIKA KUNA MAMBO MAKUBWA MAZURI YATAKAYOKUSAIDIA KTK MAISHA IKIHUSISHA ZAIDI SUALA LA KIROHO KWA YULE ANAYEWIWA.

NI WEBSITE YA SOUTHERN HIGHLANDS CONFERENCE IKIHUSISHA MIKOA YA MBEYA, IRINGA  (Mikoa mingine nimeisahau kidogo ila itembelee wewe mwenyewe). UNAWEZA UKAITEMBELEA KUPITIA ANUANI IFUATAYO:
 http://www.shcadventist.org

Makao makuu yapo Iganzo, Chunya Road - Mbeya
Mawasiliano        info@shcadventist.org
Telephone:     +255 753 199020
Fax:               +255 25 2502367
Mobile Phone Number:     +255 718 378837 


********************************
Ngoja nikwambie msomaji wangu jambo hili, kwamba:
MAJIBU YAFANYAYO KAZI ni kipengele kinachoongelea masuala ya kiroho zaidi.
Kwa sababu ya upekee na unyeti wa siku, Sio vibaya tukibadilishana mawazo na kuambizana yaliyomuhimu katika maisha hasa ya kiroho.
Na huu utakuwa ni mfululizo kwa kila siku kama hii ya leo...
(Namaanisha JumaMosi)

Pamoja na kwamba weeengi wanaamini hii ni kweli, lakini kweli halisi jionee mwenyewe ambapo

Napenda kukujulisha kuwa lile Kongamano la Mawasiliano la Union litmefanyika na leo ndio hitimisho Februari 18, 2012 kama ilivyopangwa katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge Dar es salaam.

Wahudumu wa Kongamano hili lenye Motto :
”THE WINGS OF OUR FLIGHT”  
wametoka General Conference, East-Central Africa Division, Tanzania Union na wataalamu wetu wa ndani waliobobea.

Kando ya Maofisa wetu wa Union, Konferensi/Fildi, Wakurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano Jamii, Wataalamu wa IT wa Fild na Konferensi, Wajumbe wa Kongamano hili walijumuishwa pia wachungaji wa mitaa, wazee wa kanisa, viongozi wa kanisa wa mawasiliano na uhusiano na jamii, wataalamu wa Teknohama na washiriki wote.

Kongamano hili lilijadili Nyanja nne kuu za mawasiliano:
 
(A) - Print Media, 
(B) - ICT, 
(C) - Radio na 
(D) - Television Broadcasting.
  
The topics include though not limited to: 
* Production Playback and Feedback, 
* Ethics and Adventist Communication Issues, 
* Writing Adventist News, 
* Quality Production and Maintenance of high Production 
* Standards, 
* Public Relations, 
* Writing For Broadcasting, 
* Interface with Public Print and Broadcast Media, 
* Writing for Print, 
* Effective Interview, 
* Podocasting, 
* Magazine formats , 
* Adventist Websites, 
* NetAdventist, 
* A week of Prayer through Social networks, 
* Twitting  for Commission, 
* The Communication Secretary (for Church), 
* Crisis management issues.

Wapendwa sasa vifaa vya mawasiliano vya kisasa zaidi vinaendelea kuwekwa makanisani. Hii ni fursa yako muafaka kujifunza kuvitumia ili kutimiza utume wa kanisa kwa mafanikio makubwa. Naamini hutadiriki kukosa fursa hii. 

Alhamisi, Februari 16, 2012

AMRI YA JUMAPILI KWA ULIMWENGU MZIMA



1.     Biblia inasemaje juu ya kuinuka tena ulimwenguni kote kwa uongozi ule wa Roma ya Kikatoliki kabla ya mwisho wa wakati? Ufunuo 13:3,8.

Photo by: www.veteransnewsnow.com


1. Ni Taifa gani lililopata upendeleo litakaloongoza katika kulazimisha utunzaji wa Jumapili?


a. "Kundi lilo hilo lilitoa madai yake ya kwamba kuenea haraka kwa ufisadi kwa sehemu kubwa kulichangiwa na kuinajisi ile wanayoiita 'Sabato ya Kikristo,' na ya kwamba kule kulazimisha utunzaji wa Jumapili kungeyaboresha sana maadili ya jamii. Madai hayo yanasisitizwa hasa katika Amerika, ambako fundisho la Sabato ya Kweli limehubiriwa karibu kwa mapana yake yote." GC 587.

 
b. "Mataifa ya kigeni yatafuata mfano wa Marekani. Japokuwa Taifa hili linaongoza, hata hivyo hatari iyo hiyo itawajia watu wetu katika sehemu zote za ulimwengu." 6T 395.

 
2. Ni mataifa mangapi yatakayofuata mfano huo wa Marekani?

 
a. "Amerika, nchi yenye uhuru wa dini, itakapoungana na upapa katika kuzitenda jeuri dhamiri za watu na kuwalazimisha watu kuiheshimu sabato hiyo ya uongo [Jumapili], hapo ndipo watu wa kila nchi ulimwenguni watakapoongozwa kufuata mfano wake." 6T 18 (Angalia GCB 1-28- 1893).


b. " '[A]liwanywesha Mataifa yote mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake [mafundisho yake potofu]' Ufunuo 14:6-8. Hii inakuwaje? Kwa kuwalazimisha watu kuikubali sabato bandia [Jumapili]." 8T 94.
c. "Suala hili la Sabato ndilo litakuwa hoja kuu katika Pambano Kuu la mwisho ambalo kwalo ulimwengu wote utakuwa na sehemu yake ya kufanya." 6T 352.

 
4. Ni dini gani hasa ya ulimwengu mzima inayohusika na kulazimisha utunzaji huu wa Jumapili?


a. "Kwa vile Sabato imekuwa jambo la pekee la mabishano katika Mataifa ya jamii za Kikristo, na wenye mamlaka ya dini [ya Muungano] na serikali wameungana katika kulazimisha utunzaji wa Jumapili, basi, wale walio wachache sana watakaoendelea kukataa kukubaliana na madai hayo yanayopendwa na wengi watakuwa watu wa kuchukiwa mno ulimwenguni kote." GC 615.


b. "Jamii yote ya Kikristo itagawanyika katika makundi makuu mawili, wale wanaozishika amri [kumi] za Mungu na imani ya Yesu, na wale wanaomsujudu mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa yake." GC 450; 9T 16; 2SM 55.

 
5. Ni jambo gani litakalowapata Waadventista Wasabato ambao hawawezi kukubaliana na Amri hiyo ya Jumapili?

a. "Amri ile itakayoitia nguvu ibada ya siku hii [ya Jumapili] itatangazwa ulimwenguni kote.... Maonjo na mateso yatawajia wale wote ambao, kwa kulitii Neno la Mungu, watakataa kuisujudu sabato hiyo ya uongo [Jumapili]." 7BC 976.
b. "Ulimwengu wote utachochewa kuwa na uadui dhidi ya Waadventista Wasabato, kwa sababu hawatakubali kumsujudu papa kwa njia ya kuiheshimu Jumapili, siku iliyowekwa na mamlaka hiyo ya Mpinga Kristo. Ni kusudi lake Shetani kusababisha wafutiliwe mbali duniani, ili ukuu wake humu duniani usipate kupingwa." TM 37; RH 8-22-1893.

 
c. "Mamlaka za ulimwengu huu, zikiwa zimeungana pamoja kuzipiga vita Amri [Kumi] za Mungu, zitatangaza amri kwamba 'wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini na walio huru kwa watumwa' (Ufunuo 13:16), watafuata kwa lazima desturi za kanisa kwa kuitunza sabato hiyo ya uongo [Jumapili]. Wale wote watakaokataa kutii watakabiliwa na adhabu kutokana na sheria za serikali zao, na hatimaye itatangazwa kwamba wanastahili kifo." GC 604.

6. Ni athari gani zitakazoletwa na uamsho huo wa bandia juu ya karibu wote wanaojiita Wakristo kwa jina tu?


"Wakatangaza ya kwamba wao walikuwa na ile kweli; ya kwamba miujiza ilitendeka kati yao; ya kwamba uwezo mkuu na ishara na maajabu yalitendeka miongoni mwao; na ya kwamba hiyo ilikuwa ndiyo ile Milenia [miaka elfu moja] waliyokuwa wanaingojea kwa muda mrefu sana. Ulimwengu wote uliongolewa na kuafikiana na Amri ile ya Jumapili." Letter 6, 1884. 7.


Ni alama gani mbili zinazopingana zitapokewa na makundi hayo mawili ya watu katika ulimwengu huu hapo Jumapili itakapotiwa nguvu kwa kuitungia sheria?


a. "Wakati utunzaji wa sabato hiyo ya uongo [Jumapili] kwa kuitii amri ya serikali, kinyume na amri ile ya nne, utakuwa ni kiapo cha utii kwa mamlaka ile inayopingana na Mungu, utunzaji wa Sabato ya Kweli, kwa kuitii Sheria ya Mungu [Amri Kumi], ni ushahidi wa utii kwa Muumbaji. Wakati kundi moja, kwa uikubali alama ya utii kwa mamlaka za duniani, linapokea Alama (chapa) ya Mnyama, lile jingine, kwa kuichagua ishara ya utii kwa Mamlaka ile ya Mbinguni, litapokea Muhuri wa Mungu." GC 605.


c. "Matokeo ni ya kuogofya ambayo kwayo ulimwengu huu utakabiliwa nayo. Mamlaka za ulimwengu huu, zikiwa zimeungana pamoja kuzipiga vita Amri [Kumi] za Mungu, zitatangaza amri kwamba 'wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa,' (Ufunuo 13:16), watafuata kwa lazima desturi za kanisa kwa kuitunza sabato hiyo ya uongo [Jumapili]. Wale wote watakaokataa kutii watakabiliwa na adhabu kutokana na sheria za serikali zao, na hatimaye itatangazwa kwamba wanastahili kifo.

Kwa upande mwingine, Sheria ya Mungu [Amri Kumi] inayoamuru Siku ya Mapumziko iliyowekwa na Muumbaji inataka watu wote waitii na kutishia ghadhabu dhidi ya wote wanaozivunja amri zake [kumi]. "Jambo hilo likiwa limewekwa wazi hivyo mbele yake [kila mtu], hapo ndipo ye yote atakayeikanyaga sheria ya Mungu chini ya miguu yake ili kuitii amri ile iliyotungwa na binadamu atapokea Alama ya Mnyama...." GC 604. 

Photo by: www.lahore.olx.com.pk

8. Je, Amri hiyo ya Jumapili kwa ulimwengu mzima ina uhusiano gani na kufungwa kwa mlango wa rehema?


a. "Mungu anayapa Mataifa muda fulani wa majaribio." 4BC 1143.

 
b. "Kwa usahihi usioweza kukosewa Yule wa Milele angali bado anatunza akaunti ya Mataifa yote. Ingawa rehema zake hutolewa, zikiwa na mwito wa kuwataka wanadamu kutubu, akaunti hiyo itaendelea kubaki wazi; lakini hesabu hizo zitakapofikia kiwango fulani ambacho Mungu amekiweka, utekelezaji wa ghadhabu yake utaanza. Akaunti hiyo itafungwa. Uvumilivu wa


Mungu utakoma. Hakuna tena maombezi ya rehema kwa ajili yao." 5T208.


c. "Mungu anatunza kumbukumbu ya Mataifa: hesabu zinajaa dhidi yao katika vitabu vile vya mbinguni; na wakati ule itakapokuwa imepitishwa sheria kwamba uvunjaji wa siku ya kwanza ya juma utakabiliwa na adhabu, hapo ndipo kikombe chao kitakuwa kimejaa." 7BC 910.

d. "Hesabu zinazozidi kuongezeka katika vitabu vile vya kumbukumbu vya mbinguni zitakapoonyesha kiwango cha jumla ya maovu kuwa kimetimia, ndipo ghadhabu itakapokuja, pasipo kuchanganywa na maji, na hapo ndipo itakapojulikana ya kuwa ni jambo kubwa mno jinsi gani kuuchosha uvumilivu wa Mungu. Hatari hiyo kubwa itafikiwa wakati ule mataifa yote yatakapokuwa yameungana kuibatilisha Sheria ya Mungu." 5T 524.e. "Dunia hii karibu sana imefikia mahali ambapo Mungu atamruhusu yule mharabu [mwangamizaji] kufanya mapenzi yake juu yake. Kule kuziweka sheria za wanadamu mahali pa Sheria ya Mungu, kule kuitukuza Jumapili kwa amri za kibinadamu tu, badala ya Sabato ile ya Biblia, ndilo tendo la mwisho katika mfululizo wa matukio hayo. Tendo hilo la kubadilisha [siku ya ibada] litakapoenea ulimwenguni kote, hapo ndipo Mungu atakapojidhihirisha Mwenyewe. Atasimama katika utukufu wake wa kifalme kuitetemesha sana nchi hii. Atatoka mahali pake kuja kuwaadhibu wakazi wa dunia hii kwa ajili ya maovu yao, na nchi itaifunua damu yake, wala haitawafunika tena hao waliouawa." 7T 141.


f. "Kuweka ile iliyo ya uongo mahali pa ile iliyo ya kweli ndilo tendo la mwisho katika mfululizo wa matukio haya. Tendo hilo la kubadilisha [siku ya ibada] litakapoenea ulimwenguni kote, hapo ndipo Mungu atakapojidhihirisha Mwenyewe. Sheria za wanadamu zinapotukuzwa kuliko sheria za Mungu, mamlaka za dunia hii zinapojaribu kuwalazimisha watu kuitunza siku ya


kwanza ya juma, basi, jueni ya kwamba wakati umewadia kwa Mungu kutenda kazi yake. Atasimama katika utukufu wake wa kifalme, na kuitetemesha sana nchi. Atatoka mahali pake kuja kuwaadhibu wakazi wa dunia hii kwa ajili ya maovu yao." 7BC 980.

 
9. Je, hivi Waadventista Wasabato wote wanaamini kwamba Amri ya Jumapili kwa ulimwengu wote itapitishwa kabla ya kufungwa kwa mlango wa rehema?

La, hawaamini hivyo wote. Baadhi ya wanafunzi wa Biblia na Roho ya Unabii wanatazamia kwamba kutungwa kwa Amri ya Jumapili hakutaenea duniani kote mpaka kipindi fulani kipite baada ya kufungwa kwa mlango wa rehema.


Madondoo yaliyoorodheshwa chini ya Swali la 8 juu yanatafsiriwa kwa njia kama hii. Usemi mwingine wa kuwaunga mkono wanaoutumia ni huu: "Yesu atakapoondoka patakatifu pa patakatifu, Roho wake anayezuia ataondolewa kutoka kwa watawala na watu. Wataachwa katika udhibiti wa malaika waovu. Hapo ndipo sheria kama hizo zitatungwa kwa ushauri na uongozi wake Shetani, kama wakati usingekuwa mfupi sana, hakuna mwenye mwili ambaye angeweza kuokoka." 1T 204.






Jumatano, Februari 15, 2012

UFAHAMU NILIOUONGEZA KTK TANZANIA UNION COMMUNICATION CONVENTION


Historia


Mnamo mwaka wa 1982, Mkutano wa Ulaya wa usimamizi wa Posta na Mawasiliano (CEPT) uliunda Groupe Special Mobile (GSM) ili kukuza kiwango cha mfumo wa simu za rununu zinazoweza kutumika kote Ulaya. Mwaka 1987, mkataba wa maelewano ulitiwa saini na mataifa 13 ili kuunda mfumo wa simu za rununu za kutumiwa kote Ulaya. Hatimaye mfumo ulioundwa na SINTEFiliyoongozwa nayeTorleiv Maseng ulichaguliwa.

Mnamo mwaka wa 1989, jukumu la GSM lilihamishiwa kwa shirika la European Telecommunications Standards Institute (ETSI) na awamu ya kwanza ya maelezo ya GSM ilichapishwa mwaka 1990. Mtandao wa GSM wa kwanza ulizinduliwa mwaka wa 1991 naRadiolinja nchini Finland kwa ushiriakiano wa kampuni ya Ericsson katika matengenezo ya miundombinu na ya kiufundi . Kufikia mwisho wa 1993, zaidi ya wateja milioni walikuwa wanatumia mitandao ya simu ya GSM iliyokuwa ikiendeshwa na watoa huduma 70 katika nchi 48.

Mtandao wa redio wa seli

GSM ni mtandao wa seli, ina maana kuwa simu za rununu zinajiunganisha nayo kwa kutafuta seli katika maeneo ya karibu.

Kuna aina tano ya seli zinazotofautishwa na ukubwa katika mtandao wa GSM-macro, micro, Pico, femto na Umbrella. Eneo la usambazaji wa kila seli linatofautiana kulingana na mazingira ya utekelezaji. Seli za 'Macro' zinaweza tizamwa kama seli ambapo kituo cha wigo cha antena kimewekwa juu ya mlingoti au jengo lenye urefu zaidi ya paa za wastani. Seli za 'Micro' ni zile ambazo urefu wa antena ni chini ya wastani wa kiwango cha juu cha paa; nazo kwa kawaida hutumika katika maeneo ya mijini. Seli za 'Pico' ni seli ndogo zenye mpenyo wa mita chache; nazo hutumika sana nyumbani. Femtocells ni seli iliyoundwa kwa matumizi katika makazi au mazingira ya biashara ndogo na kuunganishwa na mtandao wa mtoa huduma ya simu kupitia mtandao wa mawasiliano ya kimataifa kwa njia ya broadband Seli ya umbrella hutumiwa kufunika maeneo ya seli ndogo na kujaza pengo katika uenezaji wa huduma na seli hizo.

Mpenyo wa mlalo wa seli unatofautiana kutoka mita mia kadhaa hadi kufikia kilomita zaidi ya kumi kwa kutegemea urefu wa antena, faida ya antena na hali ya kueneza . Umbali mrefu sana unaoweza kuhudumiwa na GSM katika matumizi ya kawaida ni 35 kilometres (22 mi) Pia kuna matekelezo kadhaa ya dhana ya seli iliyopanuliwa ambapo nusu kipenyo ya seli inaweza kuwa mara mbili au hata zaidi, kwa kutegemea mfumo wa antena, aina ya Mandhari na maendeleo katika upimaji muda.

Matumizi ya ndani pia yanawezeshwa kwa kutumia kituo cha picocell ya ndani, au chombo cha kurudia na antena za kusambazwa za ndani zipitishwazo kwa njia za kugawanyia umeme, ili kufikisha ishara za redio kutoka kwa antena zilizo nje kwenda kwa mfumo huru ya antena za ndani. Aina hizi kwa kawaida hutumika wakati uwezo mwingi wa simu unahitajika ndani; kwa mfano, vituo vya biashara au viwanja vya ndege. Hata hivyo, hii haihitajiki mwanzoni, kwani mpenyo wa ndani pia unatolewa na kupenya vyumba kwa ishara za redio kutoka kwa seli zozote zilizoko karibu

Mpangilio unaotumika katika GSM ni Gaussian minimum-shift keying (GMSK), ,ambayo ni aina ya awamu endelevu ya kuweka habari .Katika GMSK, ishara ambayo inafaa kupeperushwa kwanza inalainishwa kwa kutumia kichungi cha Gaussian kabla ya kupitishwa kwakichunga masafa, ambacho kinapunguza sana kuingilia mikondo jirani (adjacent channel interference).

Kuingilia vifaa vya kusikiliza

Baadhi ya vifaa vya kusikiliza vimo hatarini kutokana na kuingiliwa na Radio Frequency Interference (RFI), ambayo inaweza kupunguzwa kwa kutumia kinga zaidi / au kwa kutumia kapasita ya kupenya katika vifaa vya sauti. Hata hivyo, ni vigumu kwa mtungaji kutetea kuongezeka kwa gharama ya kufanya hivyo.

Ni kawaida kwa simu ya rununu ya GSM iliyoko karibu kusababisha sauti ya "dit, dit di-dit, dit di-dit, dit di-dit" kutoka kwa mitambo ya mawasiliano ya umma (PAs), vipaza sauti visivyotumia nyaya, redio za nyumbani, runinga, kompyuta, simu zisizo na nyaya, na vifaa vya kibinafsi vya muziki. Wakati vifaa hivi vya kusikiliza viko karibu na eneo la simu ya GSM, ishara ya redio ina nguvu ya kutosha hadi kuvifanya vifaa hivi kuwa vipokezi.
/0}Historia


Mnamo mwaka wa 1982, Mkutano wa Ulaya wa usimamizi wa Posta na Mawasiliano (CEPT) uliunda Groupe Special Mobile (GSM) ili kukuza kiwango cha mfumo wa simu za rununu zinazoweza kutumika kote Ulaya. Mwaka 1987, mkataba wa maelewano ulitiwa saini na mataifa 13 ili kuunda mfumo wa simu za rununu za kutumiwa kote Ulaya. Hatimaye mfumo ulioundwa na SINTEFiliyoongozwa nayeTorleiv Maseng ulichaguliwa.

Mnamo mwaka wa 1989, jukumu la GSM lilihamishiwa kwa shirika la European Telecommunications Standards Institute (ETSI) na awamu ya kwanza ya maelezo ya GSM ilichapishwa mwaka 1990. Mtandao wa GSM wa kwanza ulizinduliwa mwaka wa 1991 naRadiolinja nchini Finland kwa ushiriakiano wa kampuni ya Ericsson katika matengenezo ya miundombinu na ya kiufundi . Kufikia mwisho wa 1993, zaidi ya wateja milioni walikuwa wanatumia mitandao ya simu ya GSM iliyokuwa ikiendeshwa na watoa huduma 70 katika nchi 48.

Mtandao wa redio wa seli

GSM ni mtandao wa seli, ina maana kuwa simu za rununu zinajiunganisha nayo kwa kutafuta seli katika maeneo ya karibu.

Kuna aina tano ya seli zinazotofautishwa na ukubwa katika mtandao wa GSM-macro, micro, Pico, femto na Umbrella. Eneo la usambazaji wa kila seli linatofautiana kulingana na mazingira ya utekelezaji. Seli za 'Macro' zinaweza tizamwa kama seli ambapo kituo cha wigo cha antena kimewekwa juu ya mlingoti au jengo lenye urefu zaidi ya paa za wastani. Seli za 'Micro' ni zile ambazo urefu wa antena ni chini ya wastani wa kiwango cha juu cha paa; nazo kwa kawaida hutumika katika maeneo ya mijini. Seli za 'Pico' ni seli ndogo zenye mpenyo wa mita chache; nazo hutumika sana nyumbani. Femtocells ni seli iliyoundwa kwa matumizi katika makazi au mazingira ya biashara ndogo na kuunganishwa na mtandao wa mtoa huduma ya simu kupitia mtandao wa mawasiliano ya kimataifa kwa njia ya broadband Seli ya umbrella hutumiwa kufunika maeneo ya seli ndogo na kujaza pengo katika uenezaji wa huduma na seli hizo.

Mpenyo wa mlalo wa seli unatofautiana kutoka mita mia kadhaa hadi kufikia kilomita zaidi ya kumi kwa kutegemea urefu wa antena, faida ya antena na hali ya kueneza . Umbali mrefu sana unaoweza kuhudumiwa na GSM katika matumizi ya kawaida ni 35 kilometres (22 mi) Pia kuna matekelezo kadhaa ya dhana ya seli iliyopanuliwa ambapo nusu kipenyo ya seli inaweza kuwa mara mbili au hata zaidi, kwa kutegemea mfumo wa antena, aina ya Mandhari na maendeleo katika upimaji muda.

Matumizi ya ndani pia yanawezeshwa kwa kutumia kituo cha picocell ya ndani, au chombo cha kurudia na antena za kusambazwa za ndani zipitishwazo kwa njia za kugawanyia umeme, ili kufikisha ishara za redio kutoka kwa antena zilizo nje kwenda kwa mfumo huru ya antena za ndani. Aina hizi kwa kawaida hutumika wakati uwezo mwingi wa simu unahitajika ndani; kwa mfano, vituo vya biashara au viwanja vya ndege. Hata hivyo, hii haihitajiki mwanzoni, kwani mpenyo wa ndani pia unatolewa na kupenya vyumba kwa ishara za redio kutoka kwa seli zozote zilizoko karibu

Mpangilio unaotumika katika GSM ni Gaussian minimum-shift keying (GMSK), ,ambayo ni aina ya awamu endelevu ya kuweka habari .Katika GMSK, ishara ambayo inafaa kupeperushwa kwanza inalainishwa kwa kutumia kichungi cha Gaussian kabla ya kupitishwa kwakichunga masafa, ambacho kinapunguza sana kuingilia mikondo jirani (adjacent channel interference).

Kuingilia vifaa vya kusikiliza

Baadhi ya vifaa vya kusikiliza vimo hatarini kutokana na kuingiliwa na Radio Frequency Interference (RFI), ambayo inaweza kupunguzwa kwa kutumia kinga zaidi / au kwa kutumia kapasita ya kupenya katika vifaa vya sauti. Hata hivyo, ni vigumu kwa mtungaji kutetea kuongezeka kwa gharama ya kufanya hivyo.

Ni kawaida kwa simu ya rununu ya GSM iliyoko karibu kusababisha sauti ya "dit, dit di-dit, dit di-dit, dit di-dit" kutoka kwa mitambo ya mawasiliano ya umma (PAs), vipaza sauti visivyotumia nyaya, redio za nyumbani, runinga, kompyuta, simu zisizo na nyaya, na vifaa vya kibinafsi vya muziki. Wakati vifaa hivi vya kusikiliza viko karibu na eneo la simu ya GSM, ishara ya redio ina nguvu ya kutosha hadi kuvifanya vifaa hivi kuwa vipokezi.

Kelele ya kubonyeza yenyewe huashiria miilipuko ya nguvu zinazobeba ishara ya TDMA. Ishara hizi zinatambuliwa kwa kuingilia vifaa vingine vya kielekroniki kama vile redio za gari pamoja na vifaa vya redio sogezi. Hii pia hutegemea muundo wa simu, na jinsi inavyofuata sheria na kanuni zilizotengwa na masharti ya Title 47 CFR Part 15 nchini Marekani, inayofungamana na kuingiliwa na vifaa vya kielekroniki.
  


Mikondo ya GSM


Mitandao ya GSM hufanya kazi katika mikondo kadhaa (iliyogawanywa kwa mikondo ya GSM ya 2G na kwa mikondo ya bendi ya UMTSya 3G). Nyingi ya mitandao ya 2G ya GSM hufanya kazi katika mikondo ya megawati 900 au megawati 1800 Baadhi ya nchi za Amerika (zikiwemo Kanada na Marekani) hutumia megawati 850 na 1900 kwa sababu bendi za 900 na 1800 zilikuwa tayari zimetengwa. Mitandao mingi ya GSM ya 3G, katika Ulaya hufanya kazi katika mikondo ya megawati 2100.

Mikondo haba ya megawati 400 na 450 zimepeanwa katika mataifa mengine ambamo mikondo hii awali ilitumika kwa mifumo ya kizazi cha kwanza

GSM-900 hutumia megawati 890-915 kutuma habari kutoka kituo cha simu hadi [[stesheni ya msingi stesheni ya msingi (uplink) na megawati 935-960 kwa mwelekeo huo mwingine(downlink), kutoa mikondo 125 ya RF (mikondo nambari 1-124) imegawanywa kwa nafasi za kilowati 200. Mgawanyo unaotumika ni wa njia mbili na ni wa megawati 45.

Katika baadhi ya nchi mkondo wa GSM-900 umekuwa ukipanuliwa kufunika mkondo mkubwa wa masafa. Hii 'extended GSM', E-GSM, yaani GSM iliyopanuliwa, inatumia megawati 880-915 katika (uplink) na 925-960 katika (downlink), kuongeza mikondo 50(mikondo 975-1023 na 0) kwa bendi asili ya GSM-900 . Time division Multiplexing kwa zamu hutumiwa kuruhusu mikondo minane mizima au mikondo kumi na sita nusu ya sauti kwa kila mkondo wa ishara ya redio . Kuna vipindi vinane vya redio (vinavyotoa vipindi vinane vyamipasuko) vilivyowekwa pamoja katika fremu ya TDMA. Mikondo ya nusu muda hutumia fremu badala katika kipindi kimoja cha muda. Kiwango cha data kwa mikondo yote 8 ni 270.833 kbit/s, na muda wa fremu ni 40615 ms.

Nguvu za kutuma za rununu ni mdogo kwa upeo wa wati 2 katika GSM850/900 na wati 1 katika GSM1800/1900.

Kodeki za Sauti

GSM imetumia kodeki za sauti mbalimbali ili kutia kilowati 3.1 za odio ndani ya 6.5 na 13 Kbit / s. Mwanzoni, kodeki mbili, zilizopewa majina baada ya aina ya mikondo ya data zilizopelekewa,zilitumika, ziliitwa kiwango nusu (6,5 Kbit / s) na kiwango kamili (13 Kbit / s). Hizi zilitumia mfumo wa msingi uliotegemea linear predictive CODING (LPC). Mbali na kuwa na ufanisi na bitrates, kodeki hizi zilifanya iwe rahisi kubaini maeneo muhimu zaidi ya kusikiliza, na kuruhusu safu ya hewa kuchagua na kulinda vyema zaidi sehemu zilizo muhimu za ishara.

GSM iliimarishwa zaidi mwaka wa 1997 na kodeki aina ya Enhanced Full-rate(EFR), ya 12.2 Kbit / s inayotumia mkondo mzima wa ishara. Hatimaye, kwa maendeleo ya UMTS, EFR iliingizwa upya katika kodeki ya variable -rate inayoitwa Amr-Narrowband, ambayo ni ya kiwango cha juu cha ubora na imara dhidi ya kuingiliwa wakati wa kutumiwa katika kiwango kamili , na kidogo ingawa imara kwa ubora wakati wa kutumiwa katika redio nzuri kwa kipimo nusu.

 




 Muundo wa mtandao wa GSM


Mtandao nyuma ya GSM unaoonwa na mteja ni mkubwa na mgumu kuelewa ili kutoa huduma zote zinazohitajika. Imegawanywa katika sehemu kadhaa na kila mojawapo imeangaziwa katika makala tofauti.

 Sehemu ya mfumo wa Kituo cha msingi (vituo vya msingi na vidhibiti vyao).

 Mtandao na sehemu ya mfumo wa swichi (sehemu ya mtandao inayofanana zaidi na mtandao uliowekwa mahala pamoja). Hii mara nyingine huitwa kiini cha mtandao .

 Kiini cha mtandao wa GPRS (sehemu inayoruhusu mawasiliano ya Intanet yanayotegemea pakiti).

 Vipengele vyote katika mfumo vinachangia katika kutoa huduma nyingi za GSM kama vile simu za sauti na ujumbe mfupi, yaani SMS.

Kitambulishi mteja, "Subscriber Identity Module" (SIM)

Mojawapo ya sifa za GSM muhimu ni kitambulishi mteja, kwa kawaida kinajulikana kama kadi ya SIM. SIM ni kadi 'erevu' inayoweza kutolewa yenye habari kumhusu mteja na pia iliyo na nambari za simu anazozihifadhi mteja Hii inamruhusu mteja kuhifadhi habari zake hata baada ya kubadilisha simu. Vinginevyo mtumizi anaweza kubadilisha mtoa huduma za simu kwa kubadilisha tu kadi ya SIM. Baadhi ya watoa huduma watazuia jambo hili kwa kuifanya simu itumike na kadi ya SIM moja tu, au kadi ya SIM iliyotolewa nao tu, jambo linalojulikana kama kufunga SIM, na ni hatia katika baadhi ya nchi.

Nchini Australia, Amerika ya Kaskazini na Ulaya watoa huduma hufunga simu wanazouza. Hii inafanywa kwa sababu bei ya simu kwa kawaida inatolewa ruzuku na mapato kutoka uandikishaji, na watoa huduma wanataka kujaribu kuepuka kuwatolea ruzuku washindani wao. Mteja anaweza kuwasiliana na mtoa huduma ili aifungue kwa malipo, au atumie huduma za kibinafsi kuifungua, au atumie programu zilizoko katika tovuti za mtandao kujifungulia mwenyewe. Wakati tovuti zingine zinatoa huduma hiyo kwa malipo zingine zinatoa huduma hii bure. Kufunga kunahusiana na simu, zinazobainishwa na namba ya International Mobile Equipment Identity (IMEI), si kwa akaunti (ambayo inabainishwa na kadi ya SIM).

Katika baadhi ya nchi kama vile Bangladesh, Ubelgiji, Costa Rica, Indonesia, Malaysia, Hong Kong, Pakistan na Singapore, simu zote zinauzwa kama hazijafungwa. Hata hivyo, katika Ubelgiji, ni kinyume na sheria kwa watoa huduma kutoa aina yoyote ya ruzuku kwa bei za simu. Hali ilikuwa hivyo nchini Finland hadi Aprili 1 2006, wakati kuuza kwa mchanganyiko wa simu na kutoa huduma zilizotolewa ruzuku ilipohalalishwa (simu za 3G tu), ingawa watoahuduma lazima wafunge simu baada ya kipindi fulani (kisichozidi miezi 24).

Nchini New Zealand, tangu Mei 2008, ni haramu kwa watoa huduma kufunga simu, na simu yoyote inayonunuliwa ikiwa imefungwa nchini kabla ya tarehe hiyo inaweza funguliwa bila malipo..

Usalama wa GSM

GSM ilirasimiwa na uwezo wa kadri wa usalama. Mfumo ulibuniwa kumtambulisha mteja kwa kutumia ufunguo wa ushirikiano wa awalina kujibu changamoto Mawasiliano kati ya mteja na stesheni ya msingi yanaweza kufanywa yawe ya siri. Maendeleo ya UMTSyanatanguliza chaguo la USIM, linalotumia kifuguo kirefu cha utambulishi na kuleta usalama wa juu zaidi, vilevile kuutambulisha mtandao na mtumizi- ilhali GSM inamtambulisha tu mtumizi kwa mtandao (na si kinyume chake). Mtindo huo wa usalama hutoa siri na kujitambulisha, lakini uwezo mdogo wa kujitambulisha na wa kukanusha. GSM inatumia mipangilio ya kisayansi kadhaa kwa minajil ya usalama. Mikondo ya siri ya A5 / 1 na A5 / 2 s hutumiwa kwa kuhakikisha sauti haisikizwi hewani. A5 / 1 ilitengenezwa kwanza na ni mpangilio wenye nguvu na hutumika Ulaya na Marekani; A5 / 2 ni dhaifu kiasi na hutumiwa katika nchi nyingine. Mibabuko ya udhaifu imepatikana katika mipangilio hiyo miwili: inawezekana kuvunja A5 / 2 katika muda halisi na kwa shambulio nakala ya siri-tu, na katika Februari 2008, Pico Computing, Inc ilifichua uwezo na mipango yake kuuza FPGA zinazowezesha A5 / 1 kuvunjwa na shambulizi laupinde wa meza. Mfumo unaweza chechesha mipangilio kadhaa ili watoa huduma waweze kubadilisha kwa mwandiko wa siri.

Habari ya Viwango

Mifumo ya GSM na huduma imeelezewa katika seti ya viwango inayotawalwa na Etsi, ambapo orodha kamili imedumishwa.

 




Mfano wa makadirio


 GSM 07,07 "katika seti ya GSM Mobile Equipment (ME)" inaelezea amri kuu za AT za kuwasiliana kupitia kusano ya kufuatanisha na sehemu ya mfumo wa GSM ya simu. Kwa maelezo zaidi, angalia seti amri za Hayes.

 3GPP TS 27.007 - AT amri zilizowekwa kwa vifaa vya mtumizi, 'User Equipment' (UE).

 GSM 07,05 ina amri za ziada za AT kwa sms na CBS.
********************************************

 Global Systems for Mobile (GSM ) ni kampuni ambayo awali ilikuwa sehemu ya kampuni ya Groupe Special Mobile ni kampuni maarufu sana iliyoweka kiwango cha rununu duniani. Mdhamini wake, GSM Assiciation,anakisia kwamba 80% ya simu katika soko la kimataifa zinatumia kiwango hiki. GSM hutumiwa na zaidi ya watu bilioni 3 katika nchi na maeneo zaidi ya 212. Kuenea kwake kunawezesha "international roaming " ambapo watoaji wa huduma za simu za runuunu hutoa huduma inayowezesha wateja kutumia simu zao hata wanaposafiri mataifa mengine. GSM hutofautiana na kampuni tangulizi kwa vile njia za kuashiria na sauti ni za aina ya dijitali, na hivyo hufikiriwa kama kizazi cha pili (2G) cha mfumo wa simu za rununu. Hii ina maana kuwa ni rahisi kuweka takwimu ya mawasiliano kwenye mfumo. GSM EDGE ni toleo la 3G la itifaki hii.

 Kuenenea kwa kiwango cha GSM kumefaidi watumizi (ambao wamenufaika na uwezo wa kusafiri na kubadilisha watoa huduma za simu bila haja ya kubalisha simu) na pia kwa watoa huduma za mtandao wa simu (ambao wanaweza kuchagua vifaa kutoka kwa mchuuzi yeyote ambaye anatekeleza huduma ya GSM. GSM pia ilitanguliza katika huduma ya gharama ya chini (kwa mchukuzi wa mtandao) mbadala kwa kupiga simu za sauti, huduma ya ujumbe mfupi (sms, pia huitwa "ujumbe wa makala"), ambayo sasa imeungwa mkono na viwango vingine vya simu za rununu Faida nyingine ni kwamba kiwango hicho kimoja kinajumuisha namba moja ya simu za dharura, 112,duniani kote. Hii inafanya kuwa rahisi kwa wasafiri wa kimataifa kuunganishwa na huduma za dharura bila kujua namba ya dharura ya nchi waliyomo.


Jumanne, Februari 14, 2012

Lady Gaga ni advocate wa Shetani





"Alejandro” by Lady Gaga.
Very subtly the devil sneaks into our lives to steal and destroy souls!

.We don’t even realise that just by singing the lyrics of a seemingly ‘innocent’ song with a nice tune, we open the door wider for his evil spirit!!
‘
Alejandro’ means: man's defender and protector’ (GOD).
‘Fernando’ means: ardent for peace (JESUS).
‘Roberto’ means: bright or shiningly framed (HOLY SPIRIT).

‘Babe’ is the same as ‘child’
Now the lyrics again:

??"Don't call my name; don't call my name, Alejandro(GOD).I'm not your child, i'm not your child, Fernando (JESUS). Don't call my name; don't call my name, Roberto (HOLY SPIRIT) Alejandro; Alejandro (GOD), Just let me go."

People, please stop listening to Lady Gaga!Real name Stefani Joanne Angelina Germanotta. She sold her soul to the devil for fame and fortune, suddenly having 8 million followers on Twitter; top selling artist, and the top winner at the Grammys. This is clearly the devil at work!

Remember the images with her inside the egg carried on a cross? Hatching from an egg signifies the cold blooded rebirth. Implanted horns on her shoulders and cheek bone indicating the transformed BRIDE OF SATAN! (Save a soul and pass this on)
I received it, and I've passed it on. The blood is off my shoulder...


BAADHI YA MAONI:

MTU WA KWANZA: 
kusema ukweli, yule ni advocate wa shetani, shetani lile limevaa mwili wa lady gaga...hayumo ndani mle anaweza kuwa alishachomolewa muda na pale ni sanamu tu la shetani..kwasababu kwanza anaabudu kanisa la shetani....so kwakweli, wanaomsikiliza wanahitaji msaada wa dharura.. 

MTU WA PILI: 
Na sio Gaga peke yake, maselebriti wengi ni satanic  agents, tena na nimesikia kuwa hata wa kibongo nao wamo..

MTU WA TATU: 
Chonde chonde isiwaingilie Freemassons na Illuminati, tena tuna mpaka ma Rosae Crusis (Rosecrusins) hapa bongo na wote ni very succesiful.

Somo lao la kwanza ni kujitambua 'self awarenes', ukishajitambua ndipo utakapojua how much power do you posses inside. Sucess huja kwa kuitumia hiyo power on whatever you do, and top you will go!.

Nilimsikia Mchungaji Rwakatare, akishuhudia wito wake wa uchungaji, alitokewa na Mungu na kuambia amemteua aeneze neno lake, yeye Mchungaji akamuomba Mungu, kama kweli anataka aeneze neno pia ampe na utajiri. Kwa sasa ni tajiri mkubwa na anahubiri umasikini ni laana. Jee wewe unapenda umasikini?. Kama lengo ni utajiri, Kuna tofauti gani kuwa illuminati na ukawa tajiri, au kulitumia jina la bwana na ukawa tajiri?. Kwa maoni yangu, yote mawili ni kazi ya Shetani, kwa iluminaji, amejidhihirisha kwao, kwa hawa wengine, ameji disguize kwa jina la Bwana. (Sio wote waitao Bwana Bwana ni Wangu).
Yesu alisema "watakuja watakao toa mapepo kwa jina langu, lakini sii wangu", jee tutawajuaje?.

Fanya utafiti wa hawa wahubiri kwenye TV mbalimbali na utajiri wao, wengine tunao hapa hapa miongoni mwetu, hebu angalia macho yao!
Mwezi Desemba, wachungaji zaidi ya 10 wa kanisa fulani, walikopeshwa mikopo ya nyumba na benki ya kanisa lao, mwezi Desemba wametupiwa vyombo vyao nje na kutimuliwa huku nyumba zikiuzwa kwa mnada kisa hawajakamilisha kulipa deni!, hawa nao wantumikia Mungu?.

Kwa wanaomjua Yesu, alikuwa akitembea peke, hakuja na kitu dunia hii, hakutafuta kitu dunia hii, na aliondoka kama alivyokuja, wanaomfuata Yesu, tumfuate, na wanaomfuata Lady Gaga waache wamfuate!.

Jumatatu, Februari 13, 2012

YALIYOJIRI WIKENDI @ USHINDI SDA CHURCH - MIKOCHENI B.

Karibu tunapoanza mchakato unaodhihirisha tukio la vijana lililojiri Jumamosi ya tarehe 11st, Feb, 2012 katika kanisa la Waadventista Wasabato Ushindi Dar es salaam Tzooo.

Sehemu ya Umati.

Master Guide Mwl. Elia Nyawazwa akisimulia kisa.

Master Guide Mwl. Elia Nyawazwa

Madhari ya ndani bila mwanga wa camera wala naniliu...ile inaitwaje vile!.

Master Guide Mwl. Elia Nyawazwa akihutubia.


Ushindi SDA Youth Choir wakiimba.

Wahudhuriaji upande wa kulia wakiimba wimbo wa pamoja.

Wahudhuriaji upande wa katikati wakiimba wimbo wa pamoja.

Wahudhuriaji kwa umakini wakitazama na kusikiliza...yaani kwamba tupo pamoja.

Ushindi SDA Youth Choir wakiimba, ni baadhi tu ya wahusika.

Baadhi ya wahudhuriaji


Kwa umakini zaidi kutokana na kisa kilichosimuliwa.

Baadhi ya waimbaji wa Ushidi SDA Youth Choir wakiteta jambo.



Kinondoni  SDA Youth Choir wakiimba.

Kinondoni  SDA Youth Choir wakiimba.

Kihengu Nyabunya - Music Producer, Camera man & Pianist

 
Calvin Ahad Obed - Techinician

Huyo mdada amesinziaaaa au ni mapozi tu?

Kinondoni  SDA Youth Choir wakiimba.

Kinondoni  SDA Youth Choir wakiimba.

Tabata SDA Pathfinder Club wakiwa Studio za Morning Star Radio 105.3 Live ktk Kipindi cha Watoto Leo.

Tabata SDA Pathfinder Club

Tabata SDA Pathfinder Club - Ni kama askari flani hivi japo mafunzo yao!!! Daaaaaaaaah.



Ndio kama hivyo mdau, japo internet ilileta shida lakini kwa kadri nilivyoweza nimekuletea kisehemu kwa njia ya picha tukio hili la Vijana. Kuna mengi nitakushushia yanayohusu semina ya mawasiliano inayotarajiwa kuanza tarehe 14th, Feb, 2012.

USIKOSE MEEEEEEEEEEN.