Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatatu, Agosti 31, 2015

OMBI

Mungu akupe ulinzi kwa kila HATARI, upenyo kwa kila JARIBU, mafanikio kwa kila JAMBO, upendo kwa kila MTU, uvumlivu kwa kila KWAZO, busara kwa kila UAMUZI, kinga kwa kila HILA, tjibu kwa kila OMBI, faraja kwa kila CHOZI, ushindi kwa kila USHINDANI. Huku jeshi la malaika likipiga doria! Juu ya maisha yako. 

Nakutakia  siku njema.