Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatatu, Februari 13, 2012

YALIYOJIRI WIKENDI @ USHINDI SDA CHURCH - MIKOCHENI B.

Karibu tunapoanza mchakato unaodhihirisha tukio la vijana lililojiri Jumamosi ya tarehe 11st, Feb, 2012 katika kanisa la Waadventista Wasabato Ushindi Dar es salaam Tzooo.

Sehemu ya Umati.

Master Guide Mwl. Elia Nyawazwa akisimulia kisa.

Master Guide Mwl. Elia Nyawazwa

Madhari ya ndani bila mwanga wa camera wala naniliu...ile inaitwaje vile!.

Master Guide Mwl. Elia Nyawazwa akihutubia.


Ushindi SDA Youth Choir wakiimba.

Wahudhuriaji upande wa kulia wakiimba wimbo wa pamoja.

Wahudhuriaji upande wa katikati wakiimba wimbo wa pamoja.

Wahudhuriaji kwa umakini wakitazama na kusikiliza...yaani kwamba tupo pamoja.

Ushindi SDA Youth Choir wakiimba, ni baadhi tu ya wahusika.

Baadhi ya wahudhuriaji


Kwa umakini zaidi kutokana na kisa kilichosimuliwa.

Baadhi ya waimbaji wa Ushidi SDA Youth Choir wakiteta jambo.Kinondoni  SDA Youth Choir wakiimba.

Kinondoni  SDA Youth Choir wakiimba.

Kihengu Nyabunya - Music Producer, Camera man & Pianist

 
Calvin Ahad Obed - Techinician

Huyo mdada amesinziaaaa au ni mapozi tu?

Kinondoni  SDA Youth Choir wakiimba.

Kinondoni  SDA Youth Choir wakiimba.

Tabata SDA Pathfinder Club wakiwa Studio za Morning Star Radio 105.3 Live ktk Kipindi cha Watoto Leo.

Tabata SDA Pathfinder Club

Tabata SDA Pathfinder Club - Ni kama askari flani hivi japo mafunzo yao!!! Daaaaaaaaah.Ndio kama hivyo mdau, japo internet ilileta shida lakini kwa kadri nilivyoweza nimekuletea kisehemu kwa njia ya picha tukio hili la Vijana. Kuna mengi nitakushushia yanayohusu semina ya mawasiliano inayotarajiwa kuanza tarehe 14th, Feb, 2012.

USIKOSE MEEEEEEEEEEN.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni