Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumanne, Februari 14, 2012

Lady Gaga ni advocate wa Shetani

"Alejandro” by Lady Gaga.
Very subtly the devil sneaks into our lives to steal and destroy souls!

.We don’t even realise that just by singing the lyrics of a seemingly ‘innocent’ song with a nice tune, we open the door wider for his evil spirit!!

Alejandro’ means: man's defender and protector’ (GOD).
‘Fernando’ means: ardent for peace (JESUS).
‘Roberto’ means: bright or shiningly framed (HOLY SPIRIT).

‘Babe’ is the same as ‘child’
Now the lyrics again:

??"Don't call my name; don't call my name, Alejandro(GOD).I'm not your child, i'm not your child, Fernando (JESUS). Don't call my name; don't call my name, Roberto (HOLY SPIRIT) Alejandro; Alejandro (GOD), Just let me go."

People, please stop listening to Lady Gaga!Real name Stefani Joanne Angelina Germanotta. She sold her soul to the devil for fame and fortune, suddenly having 8 million followers on Twitter; top selling artist, and the top winner at the Grammys. This is clearly the devil at work!

Remember the images with her inside the egg carried on a cross? Hatching from an egg signifies the cold blooded rebirth. Implanted horns on her shoulders and cheek bone indicating the transformed BRIDE OF SATAN! (Save a soul and pass this on)
I received it, and I've passed it on. The blood is off my shoulder...


BAADHI YA MAONI:

MTU WA KWANZA: 
kusema ukweli, yule ni advocate wa shetani, shetani lile limevaa mwili wa lady gaga...hayumo ndani mle anaweza kuwa alishachomolewa muda na pale ni sanamu tu la shetani..kwasababu kwanza anaabudu kanisa la shetani....so kwakweli, wanaomsikiliza wanahitaji msaada wa dharura.. 

MTU WA PILI
Na sio Gaga peke yake, maselebriti wengi ni satanic  agents, tena na nimesikia kuwa hata wa kibongo nao wamo..

MTU WA TATU
Chonde chonde isiwaingilie Freemassons na Illuminati, tena tuna mpaka ma Rosae Crusis (Rosecrusins) hapa bongo na wote ni very succesiful.

Somo lao la kwanza ni kujitambua 'self awarenes', ukishajitambua ndipo utakapojua how much power do you posses inside. Sucess huja kwa kuitumia hiyo power on whatever you do, and top you will go!.

Nilimsikia Mchungaji Rwakatare, akishuhudia wito wake wa uchungaji, alitokewa na Mungu na kuambia amemteua aeneze neno lake, yeye Mchungaji akamuomba Mungu, kama kweli anataka aeneze neno pia ampe na utajiri. Kwa sasa ni tajiri mkubwa na anahubiri umasikini ni laana. Jee wewe unapenda umasikini?. Kama lengo ni utajiri, Kuna tofauti gani kuwa illuminati na ukawa tajiri, au kulitumia jina la bwana na ukawa tajiri?. Kwa maoni yangu, yote mawili ni kazi ya Shetani, kwa iluminaji, amejidhihirisha kwao, kwa hawa wengine, ameji disguize kwa jina la Bwana. (Sio wote waitao Bwana Bwana ni Wangu).
Yesu alisema "watakuja watakao toa mapepo kwa jina langu, lakini sii wangu", jee tutawajuaje?.

Fanya utafiti wa hawa wahubiri kwenye TV mbalimbali na utajiri wao, wengine tunao hapa hapa miongoni mwetu, hebu angalia macho yao!
Mwezi Desemba, wachungaji zaidi ya 10 wa kanisa fulani, walikopeshwa mikopo ya nyumba na benki ya kanisa lao, mwezi Desemba wametupiwa vyombo vyao nje na kutimuliwa huku nyumba zikiuzwa kwa mnada kisa hawajakamilisha kulipa deni!, hawa nao wantumikia Mungu?.

Kwa wanaomjua Yesu, alikuwa akitembea peke, hakuja na kitu dunia hii, hakutafuta kitu dunia hii, na aliondoka kama alivyokuja, wanaomfuata Yesu, tumfuate, na wanaomfuata Lady Gaga waache wamfuate!.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni