Dogo ana Mahela huyu!!!
MARK ZUCKERBERG
Na hii ndio Kazi yake

DO NOT GIVE UP. THE BIGINNING IS ALWAYS THE H a r D e s t. "NI HERI KUFA KATIKA FIKRA ZINAZOISHI KULIKO KUISHI KATIKA FIKRA ZILIZOKUFA."
Sasa headphones hizo zimezinduliwa rasmi hivi karibuni kwenye mkutano 50cent aliofanya na waandishi wa habari akiwa na Team nzima ya kampuni yake mpya pamoja na kuzielezea kiundani zaidi akizilinganisha na zile za Beats by Dre.. kwa kusema kuwa zake ni Platinum na zimekuja na teknologia mpya ya signal inayoitwa KLEAR.. ambayo badae itatumika kwenye simu kama vile ilivyo Bluetooth.
Mmoja wa matajiri wakubwa duniani, Mukesh Ambani, raia wa nchini India, aliemaliza ziara yake katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na kutoa ahadi ya kuitangaza hifadhi hiyo ili iweze kupata watalii wengi zaidi kutoka mataifa mbalimbali. Ambani anayedaiwa kuwa ni tajiri namba nne duniani, aliingia nchini tangu Septemba 30, mwaka jana kupitia katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na ndege nne binafsi pamoja na ujumbe wa watu 48.
Tajiri huyo mwenye kumiliki majengo makubwa ya kifari nchini India yenye huduma zote (mojawapo hili kushoto) alisema amefurahishwa na kuvutiwa na vivutio vilivyomo katika hifadhi hiyo. Aidha, tajiri huyo alisema ataisaidia Serikali ya Tanzania kutafuta wawekezaji wa kuwekeza katika hifadhi hiyo ikiwa ni pamoja na kujenga mahoteli makubwa ambayo yatavutia watalii wengi zaidi.Dioksidi kabonia (pia: Dioxidi ya kaboni) ni kampaundi ya kikemia inayounganisha atomi mbili za oksijeni na atomi moja ya kaboni katika molekuli. Fomula yake ni CO2.
Katika mazingira ya kawaida hutokea kama gesi inayoganda kwenye halijoto chini ya -78.5°C. Katika hali ya gesi haina ladha wala harufu.

Kiasi cha kaboni dioksidi hewani imeongezeka katika miaka 150 iliyopita kutokana na kuchoma kwa fueli kisukuku kama makaa mawe na mafuta ya petroli. Uchumi wa viwanda, uzalishaji umeme na usafiri kwa magari yenye Injini mwako ndani kumeleta kuchomwa kwa kiasi kikubwa cha fueli hizi ambazo yote zina kaboni ndani inayomwagwa sasa kwenye angahewa kwa umbo la dioksidi kabonia.
Kuongezeka kwa gesi hii hewani kunasababisha kupanda kwa halijoto duniani2infraredi yaani joto. Maana yake nishati ya mwanga unaoonekana unaingia katika angahewa ya dunia lakini joto peke yake halitoki kirahisi. Tabia hii ni muhimu kwa uhai duniani kwa sababu kaboni dioksidi hewani inazuia kupoa kwa dunia wakati wa usiku; ila tu kuongezeka kwa gesi kutokana na shughuli za kibinadamu kunasababisha pia kupanda kwa halijoto duniani na matokeo yake yasiyotakiwa. kunakuonekana kama tatizo kubwa kwa wakati ujao. Muhimu ni tabia ya CO kupitisha nuru inayoonekana kama nuru ya jua lakini kuzuia mnururisho wa
Dioksidi kabonia ina matumizi mbalimbali kwa mfano kama gesi katika vinywaji aina za soda na bia, katika kizima moto za kupambana na moto penye umeme na mengi mengine.
Kupanda kwa halijoto duniani kunaonekana kwa kulinganisha vipimo vya halijoto vinavyopatikana. Kupanda huku kunaleta mabadiliko ya hali ya hewa yaliyoanza tayari kuathiri maisha ya watu na uhai duniani kwa ujumla.
Kuna hofu ya kwamba mabadiliko haya yataleta hatari kubwa kwa jamii za watu.
Kati ya wanasayansi kuna tofauti ya maoni kama sababu za mabadiliko ni shughuli za kibinadamu au kama kuna sabau asilia. Siku hizi wataalamu wengi wanafikiri ya kwamba sababu kuu ni kuchoma kwa makaa na mafuta katika viwanda, magari na vituo vya umeme kunachopuliza gesi hewani kama dioksidi kabonia.
Duniani kuna upimaji wa kisayansi wa halijoto tangu mwaka 1860. Kabla ya hayo kuna kumbukumbu ya hali ya hewa katika karne zilizopita kutoka mahali mbalimbali ambazo hazikusanifishwa wakati ule. Leo hii wanasayansi wanatumia vipimo na taarifa za kale wakipiga makadirio juu ya hali ya hewa katika historia.
Hapo wanatumia pia mbinu kama kulinganisha miviringo kwenye mashina ya miti inayonyesha miaka yenye mvua mwingi au kidogo au wanapima kiwango cha dioksidi kabonia kwenye barafu ya chini nchani yenye umri wa miaka 10,000 na zaidi.
Kwa jumla makadirio ya hali ya hewa hutofautiana lakini kwa jumla kuna picha juu ya miaka 1,000 iliyopita. Watalaamu wanakubaliana ya kwamba mnamo mwaka 1000 kulikuwa na kipindi cha joto kiasi na tena kipindi cha baridi kiasi kuanzia manmo mwaka 1600.
Lakini hakuna uhakika bado juu ya athira duniani kwa sababu sehemu kubwa ya data ni kutoka upande wa kaskazini ya dunia.
Vipimo vya kisayansi vinavyopatikana vinaonyesha ya kwamba halijoto ya wastani duniani imepanda sentigredi 0.7 kati ya 1906 na 2005. Hii si kiwango kidogo; wakati wa zama za barafu kubwa miaka 100,000 iliyopita halijoto ilikuwa tu 6 °C chini ya wastani ya leo na hii ilitosha kufunika seehmu kubwa za Ulaya, Asia na Amerika ya Kaskazini na mabapa manene ya barafu.
Dalili zote zinadokeza ya kwamba kupanda kwa halijoto kuliharakishwa tangu 1970 na kunaelekea kupanda zaidi.
Kwa miaka kadhaa wataalamu hawakukubaliana juu ya sababu za kongezeka kwa halijoto. Kwa jumla kuna maelezo mawili tofauti:
Siku hizi wataalamu wengi wanelekea upande wa pili maana wanaona mbali na sababu asilia kuna athira za kibinadamu zinazobadilisha hali ya hewa.
Wataalamu wanaonya ya kwamba kupanda kwa halijoto inaweza kuleta mabadiliko kama yafuatayo:


4.

Sina shaka nikikutajia jina unajenga picha ya haraka ya wasanii waliojizolea umaarufu mkubwa sana kwa sasa katika muziki huu.
Kwa hapa nyumbani hawa ndio mastaa wetu wa muziki huu kwa nyakati hizi japo kihistoria kabla ya hapo kulikuwa na watu waliotamba katika anga hizi, baadhi ya wanamuziki waliotamba katika muziki wa kidunia na baadaye kuingia kwenye Gospel.
Katika kukutayarisha kabla hatujaanza uchambuzi rasmi, naomba nikugusie kuwa tutasafiri kiuchambuzi tangu kuanza kuumbwa kwa ulimwengu na tutapitia nyakati hizo za Agano la Kale, tutakuja katika zama za masinagogi na wakati wa Yesu na tutapitia pia katika Ukristo na kuanza kwa kanisa.