Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatatu, Januari 10, 2011

UZINDUZI WA WIRELESS HEADPHONES

Juzi Teentz iliwapa ishu ya headphones mpya za 50cent zinazoitwa Sleek by 50cent…, Sasa headphones hizo zimezinduliwa rasmi hivi karibuni kwenye mkutano 50cent aliofanya na waandishi wa habari akiwa na Team nzima ya kampuni yake mpya pamoja na kuzielezea kiundani zaidi akizilinganisha na zile za Beats by Dre.. kwa kusema kuwa zake ni Platinum na zimekuja na teknologia mpya ya signal inayoitwa KLEAR.. ambayo badae itatumika kwenye simu kama vile ilivyo Bluetooth.

Tembelea mwenyewe hapa:
http://www.teentz.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni