Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatatu, Januari 10, 2011

MIWANI YENYE CAMERA

Wakati Dr. Dre na wenzake kama 50cents wamekaza nia kwenye upande wa Wireless Headphones!!!

Mwanadada ambaye ni mwanamuziki usio wa injili anayeitwa Lady Gaga a.k.a Queen of Twitter amekuja na kitu tofauti na kipya kinachoitwa Camera Glasses.
Ni miwani yenye swaga ambayo yanaweza kupiga picha, kurekodi video na kufanya sharing kwenda kwenye mitandano maarufu kama facebook n.k
Mambo hayo

Maoni 1 :