Huyu ndiye mwalimu wa muziki katika OMEGA POINT MUSIC ACADEMY iliyopo USHINDI SDA CHURCH. |
Hapa ilikuwa ni katika tukio moja hivi. |
Huyu mtoto ni kivutia cha wengi kutokana na uwezo wake wa kucheza Piano, ilimchukua muda mfupi sana kuanza kupiga Piano huku akisoma Staff Notation. |
Mdada kwa nyuma alikuwa akiimba wimbo uliokuwa ukichezwa na bwana mdogo hapo kwa Piano. |
Huyu ndie mkufunzi mwenyewe wa Muziki. |
Mwalimu Heri akitoa maelekezo kwa mwanafunzi |
Hapa alipewa paper ngumu, akajiuliza hivi nitaweza kweli kuupiga huu wimbo? Ulimchanganya lakini baada ya kutulia kidogo na kuungalia kwa makini akaanza na akaweza aisee...!! |
Mwalimu Heri akikagua mwanafunzi anachofanya ili kujiridhisha kuwa kaelewa ama anaweza? Ulikuwa ni wimbo mgumu sana. |
Hapa anamfunulia ukurasa mwingine ili kumpima uwezo wake |
Dogo hapa kaiva, anapiga piano na kusoma Staff Notation. |
Watoto wanaojifunza muziki wakiangalia kwa makini wakati mwalimu Heri akitoa maelekezo. |
Hapo je!! |
Muziki damuni. |
Staff Notation ni moja ya changamoto kwa waimbaji, waalimu na hata wacheza vyombo vya muziki. |
UTAPENDA MWANAO AMA WEWE MWENYEWE UJIFUNZE MUZIKI?
WASILIANA NA MWALIMU HERI KAALE KWA NAMBA HIZI ZIFUATAZO:
+255 713 381883
+255 688 984 442
+255 688 984 442
+255 757 336 090
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni