Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumapili, Januari 19, 2014

UTOFAUTI KIUTENDAJI KATIKA UBONGO WA KULIA NA WA KUSHOTOPICHA HII INAONESHA MAPANDE MAWILI YA UBONGO NA NAMNA YANAVYOTAWALA DOMINANT CHARACTER YA MTU. HAPA UBONGO WA MTU UNA MAPANDE MAWILI; PANDE  LA KULIA NA LA KUSHOTO. WATU AMBAO PANDE LAO LA KUSHOTO LA UBONGO NI DOMINANT WANAVIUNGO VYAO VYA MWILI UPANDE WA KULIA VYENYE NGUVU AMA WEPESI WA KUTUMIKA ZAIDI NA VIUNGO VYAO VYA KUSHOTO NI VIZITO AMA HAVINA NGUVU ZAIDI. VILE VILE WATU WENYE PANDE  LA UBONGO LA KULIA WANAVIUNGO VYAO VYA MWILI (mikono, miguu, macho n.k) NA WA UPANDE WA KUSHOTO WANA VIUNGO VYENYE NGUVU NA WEPESI KULIKO VIUNGO VYAO VYA KULIA (hawa ndo mashoto). 

Picha hii inaonesha general dominant characteristics ya wanaotumia viungo vya upande wa kulia na wale wanotumia viungo va upande wa kusho. KUTUMIA KUSHOTO AMA KULIA NI CREATION ORDER MTU ANAZALIWA HIVO. Kitabu cha Wakorintho 12 kinapozungumzia diversity ya talents kanisani, kinadokeza vionjo maridhawa vya elimu ya "Hemispheric Brain Specialization" Mashoto sio laana ama balaa ni karama na ni talent.

Hivyo unavyoona kama vi-DARAJA NI MFANO WA CORPAS CALOSUM kitu kinachowezesha mawasiliano na masaidiano kati ya left na right brain hemispheres. Ktk mawasiliano hayo uta- enjoy kuona kuwa pande la kulia lahusika na big-pictures, creativity, n.k pande la kushoto ni wadadisi, extreme curiosity kiasi kwamba wanaogopa hata ku-take risk. ni wanasayansi, lakini mashoto wengi  wako motivated na big pictures bila ku- undergo critical analysis ndo maana wao ni risk takers zaidi. MFANO: MANDELA, OBAMA, CLINTON, ABRAHAM LINKOLIN, SHEIKH OSAMA, NEWTON ISAAC...n.k.

KAMA WEWE NI MWANAJESHI, TENGENEZA KIKOSI CHA MASHOTO MAANA KUNA HUJUMA AMBAZO ZINANYIMA UWEZO WA MASHOTO KU-utilize talent ZAO VIZURI. USILAZIMISHE WALE JKT WALOTOKA FORM SIX WAKUKABIDHI VITU KWA MKONO WA KULIA....HIYO NI tradition WALA SIYO HESHIMA. HATA Training ZA KWATA/parade, MASHOTO KWA KAWAIDA WANAANZA NA MGUU WA KULIA LAKINI MWAWALAZMISHA WAANZE NA KUSHOTO! VIVYO HIVYO KTK SHABAHA. 

MFALME DAUDI ALIKUWA NA KIKOSI CHA "AMBIDEXTROUS" WENYE KUTUMIA MIKONO YOTE SAWA SAWA 1wafalme 12:2; NA KULIKUWA NA KIKOSI CHA MASHOTO TUPU MAKOMANDO 700!!!! 

Chanzo: CLICK HAPA 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni