Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatatu, Mei 21, 2012

Sasa....Tukirejea: twatofautiana uelewa juu ya hili ama haya.Hapa ntahitaji msaada kidogo 

Ninalomaanisha ni kuwa kama halijatokea kwako ama hujalisikia laweza kuendelea kuwa ndoto kwako, lakini kama ulishalisema kwa mtu na akaliona likitendeka huko aliko anaweza kuona ni ufunuo.
  
Unadhani ni mangapi unayaota usiku ama ulalapo na unashindwa kuyatendea kazi? 

Lakini, JE ni kweli kuwa hakuna haja ya kutilia maanani yale mema tuotayo? Je kuyasimulia?
Kumbuka yale upendayo ambayo umekuwa ukitamani kuota, na kujaribu kuyatekeleza licha ya KUTHUBUTU lakini hukupata nafasi ya kujaribu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni