| Ushindi SDA Choir ikiwa ktk mafunzo ya Muziki na mazoezi ya uimbaji. Ni moja kati ya kaya ninazo zikubali hapa Tanzania kwa sababu waliamua waimbaji wote wajifunze Muziki. |
| Ushindi SDA Church Choir ikiwa ktk mazoezi baada ya somo la Muziki toka kwa Mwalimu Heri Kaale, nilikuwepo hapo sijaoneka kwa sababu ndie nimefotoa hizi picha. |
| Kibweta kinavyoonekana kwa mbaaaaaaaali cha kanisa la Waadventista Ushindi |
| Mwalimu wa Muziki Heri Kaale. |
| Pianist Mic Ndimbo wakati wa zoezi la uimbaji. |
| Baadhi ya washuhudiaji ambao pia ni waimbaji wa kwaya ya vijana. |
| Geti la kuingilia na kutokea kanisani, mbele ni nyumba ya jirani. |
| Kisima cha kubatizia ktk mwelekeo wa kukisafisha. |
| Ndivyo kinavyoonekana. |
| Kwa ukaribu zaidi, hapa maji yapo usawa wa unyayo. |
| Kisima cha kubatizia ktk hatua za mwisho ili kifanyiwe usafi. |
| Jengo la Ushindi SDA Church ambapo chini ni kanisa na juu kutakuwa na Morning Star Tv Station. |
| Unapenda maua? |
| Mtangazaji wa Morning Star Radio 105.3 fm Kibaga Mwaipaja akiwa ktk kipindi cha Top 20 kinachoruka siku ya jumapili kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 10:00 jioni. |
| Kibaga Mwaipaja. |
| Vipi tena Dogo!! |
| Manase Rusaka Mtangazaji wa Morning Star Radio 105.3 fm akiwa ktk chumba cha habari. |
| Daniel Ramadhani na Dr.Makalla wakirekodi kipindi cha Darubini ya Imani, ni kipindi kinachoichambua Biblia na Quar'an, wamezoea hiyo mikao kutokana na asili ya watu wanashughulika nao kiroho. |
| Wakati wmingine huwa wanafanya mihadhara na Waislam. |
| Ni ktk kujibu swali toka kwa msikilizaji. |
| Nyumba za jirani na Ushindi SDA Church pamoja na Morning Star Radio 105.3 fm Mikocheni B/Bussnes Dar es salaam Tanzania. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni