Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatatu, Februari 06, 2012

YALIYOJIRI WEEKEND HII 105.3 FM

 USHINDI SDA YOUTH CHOIR - HAWA VIJANA NINAWAPENDA SANA.

UMOJA NA NIDHAMU NI NGUZO YA KUFIKIA MALENGO KWA USHINDI SDA YOUTH CHOIR

MTANGAZAJI MADUHU NA MTAYARISHAJI YUSUPH MCHARIA

MTANGAZAJI MADUHU NA MTAYARISHAJI YUSUPH MCHARIA

TEMEKE SDA CHOIR LIVE 105.3 FM

ILIKUWA NI SIKU YA PEKEE HASA TEMEKE SDA CHOIR WALIPOKUWA LIVE 105.3 FM

TEMEKE SDA CHOIR - WAKIFANYA VITU LIVE 105.3 FM

NINAWAPONGEZA TEMEKE SDA CHOIR KWA MAAMUZI YA KUTUMIA ACAPPELLA TU.

TEMEKE SDA CHOIR LIVE 105.3 FM


MTAYARISHAJI YUSUPH MCHARIA

BUSY BEE QUARTET - ACAPPELLA SINGING GROUP LIVE 105.3 FM

MTAYARISHAJI********************


JAPO PICHA HAZINA UBORA, HATA HIVYO NIA YANGU NI KUKUFAHAMISHA KUWA:

Waimbaji wa Wyimbo za Injili Wanatakiwa Kujitambua Kwamba Wao ni Watumishi wa MUNGU na Kazi Kubwa Waliyonayo ni Kuhakikisha Kuwa Jamii Inabadilika na sio Kuiburudisha.

Maoni 2 :

  1. Wabarikiwe wote wanao wanyakazi ktkshamba la Bwana....
    MUNGU YU PAMOJA NANYI DAIMA

    JibuFuta
  2. kati ya vitu vitakavyokuwepo mbinguni ni Uimbaji,wabarikiwe wote katika kumwinua Yesu na watu wamfahamu kupitia nyimbo.
    Morning star nayo ipokee mibaraka ila tunaomba jamani watu tulio mbali tuweze pia kuisikiliza morning star kwa njia ya internet hilo ndo ombi langu we miss that radio kwa kweli

    JibuFuta