Unaweza usikubali lakini hivyo ndivyo mambo yalivyo katika Dunia hii.
DO NOT GIVE UP. THE BIGINNING IS ALWAYS THE H a r D e s t. "NI HERI KUFA KATIKA FIKRA ZINAZOISHI KULIKO KUISHI KATIKA FIKRA ZILIZOKUFA."
Mtayarishaji
Morning Star Radio
Jumatatu, Desemba 26, 2011
A Documentary About Buddhism
Unaweza usikubali lakini hivyo ndivyo mambo yalivyo katika Dunia hii.
Alhamisi, Desemba 22, 2011
MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM
Jiji la Dar es salaam limekumbwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha, unaweza dhani nisimulizi ila kihalisia wakazi wa jiji la Dar es salaam na vitongoji vyake ndio wanajua uzito wa hali inayowakabili wakazi wengi.
Jiji la Dar es salaam linachangamoto ya foleni hasa kwa upande wa magari. Picha chini ni namna maji yalivyoiharibu barabara na kisha kusababisha gari kutumbukia katika mtaro wakati likiwa katika foleni. HEBU FIKIRIA KAMA MMILIKI WA GARI ALILIPATA KWA NJIA YA MKOPO!!
Hata magari ya zimamoto yalikumbwa na adha hiyo na ukiangalia hakuna njia ya haraka ya kuweza kusaidia kuokoa gari kama hili lililokutwa na maji wakati likiwa katika foleni (msongamano). Na yumkini kuna mahali lilikuwa linaelekea kuaokoa watu.
Mafuriko yazusha shida kwa wakazi wa jiji la Dar es salaam, naamini utakuwa umejionea ama kusikia habari mbalimbali kupitia Televisheni, Radio, Magazeti, Mitandao. Hali ndivyo ilivyo na bado mvua zinaonesha hali yakuendelea kunyesha.
Jumapili, Desemba 18, 2011
MIPANGO YA KIMKAKATI
- Husaidia usimamizi kufafanua, kumakini, na kutafiti biashara yao au maendeleo ya mradi na matarajio.
- Hutoa muundo uliofikiriwa na mantiki ambamo ndani yake biashara inaweza kuendelea na kuendeleza mikakati ya kibiashara katika miaka mitatu hadi mitano inayofuata.
- Hutoa msingi ambao dhidi yake utendaji halisi unaweza kupimwa na kurekebishwa.
- Upangaji wa majengo
- Mpango wa Biashara
- Upangaji wa jumla
- Upangaji wa Muundo wa Biashara
- Upangaji na Uzalishaji wa Matukio
- Upangaji wa Uzazi
- Upangaji wa Kifedha
- Upangaji wa Miundombinu
- Upangaji wa matumizi ya ardhi
- Upangaji wa maisha
- Mpango wa uuzaji
- Upangaji wa rasilimali za mtandao
- Upangaji wa kimkakati
- Upangaji wa miji
- Elezea wazi lengo / lengo kwa kuandika.
- Ni lazima iwekwe na mtu mwenye mamlaka.
- Lengo linapaswa kuwa la kweli.
- Ni lazima liwe maalumu.
- Uwezo wa kukubalika
- Unaweza kupimika kwa urahisi
- Baini masuala yote ambayo yanahitaji ufumbuzi.
- Angalia utendaji wa hapo nyuma.
- Amua mahitaji ya bajeti.
- Tilia mkazo kwenye masuala ya umuhimu wa kimkakati.
- Mahitaji ni nini na ni jinsi gani yatatatuliwa?
- Ni urefu wa kiasi gani na muundo wa mpango una uwezekano mkubwa?
- Baini mapungufu katika dhana na mwenye.
- Mikakati ya utekelezaji.
- Fanyia marudio mara kwa mara.
Katika mashirika
Katika sera ya umma
- Upangaji na ugawaji wa muda na raslimali unaotekelezwa na tarakilishi
- Upangaji Shirikishi, Utabiri, na Uongezaji (CPFR) (Usimamizi wa maduka ya mnyororo)
- Tafiti za Hali za Baadaye
- Upangaji wa Wilaya katika Kerala
- Upangaji wa watu katika Kerala
- Uongo katika upangaji
- Usimamizi wa Miradi
- Usimamizi wa wakati
- Matatizo maovu
Jumamosi, Desemba 17, 2011
MAJIBU YAFANYAYO KAZI ....The Discovery of Noah's Ark
Mtoto ni mwanadamu mwenye umri mdogo asiye mtu mzima bado. Kuna tofauti katika tamaduni mbalimbali kuhusu umri ambako mtu si mtoto tena. Mara nyingi miaka kabla ya kubalehe inatazamiwa kuwa kipindi cha utoto na baadaye mtu anaitwa kijana. Hali ya mtoto inaamuliwa zaidi na utamaduni na mapokeo yake. Kuna tamaduni ambako kijana wa miaka 16 anatazamiwa kuwa mtu mzima tayari. Hasa wasichana wanaolewa mapema na baadaye wanatazamiwa kuwa mwanamke na mama kamili hata wakiwa na umri mdogo tu.
Katika mazingira ya wakulima au wafugaji mtoto anategemewa kufanya kazi kulingana na nguvu zake anaweza kupewa wajibu kamili hata kama kisheria angetazamiwa kuwa mtoto bado. Kwa lugha mbalimbali katika uhusiano na wazazi wake mtu anaendelea kuitwa mtoto hata kama mwenyewe ameshakuwa mtu mzima na ameshazaa mwenyewe.
Hatua zaidi
Ujana ni kipindi kati ya utoto na utu uzima, unaelezwa kama kipindi cha maendeleo ya kimwili na kisaikolojia kuanzia mwanzo wa kubalehe kwa ukomavu na mwanzoni wa utu uzima. Ufafanuzi wa umri maalum ujana hutofautiana. Ukomavu wa Mtu binafs huenda unakosa kuwa sawa na umri wao, kwani watu wasiokomaa hupatika kDuniani kote tamako "kijana", "adolescent", "kijana", na "mtu kijana" mara nyingi hubadilishana huwa na maana moja. Ujana kwa ujumla inahusu wakati wa maisha ambao si utoto wala utu uzima, lakini mahali fulani kati. Ujana pia hutambua mawazo fulani ya tabia, kama ilivyo katika "Yeye ana Ujana ". Tamko Ujana pia linahusiana na kuwa mdogo.wa umri wowote. Ujana ni neno linalotumika badala ya jina la kisayansi la "adolescent" na matamshi ya kawaida ya "teen" na "teenager". Tamko lingine la kawaida ni Kijana au mtu mdogo.
Ngoja nikwambie msomaji wangu jambo hili, kwamba:
MAJIBU YAFANYAYO KAZI ni kipengele kinachoongelea masuala ya kiroho zaidi.
Kwa sababu ya upekee na unyeti wa siku, Sio vibaya tukibadilishana mawazo na kuambizana yaliyomuhimu katika maisha hasa ya kiroho.
Na huu utakuwa ni mfululizo kwa kila siku kama hii ya leo...
(Namaanisha JumaMosi)
Pamoja na kwamba weeengi wanaamini hii ni kweli, lakini kweli halisi jionee mwenyewe ambapo tutatizama:
The Discovery of Noah's Ark
Jumanne, Desemba 13, 2011
Classiscal Music au Muziki wa Klasiki.
...hii ipo katika aina za orchestra, kikawaida hulenga vyombo vya nyuzi, yaani Violin, viola, cello, na besi-mbili ambavyo ni ni vyombo vya nyuzi; kwa pamoja, vinategemeana kufanya orchestra (muziki unaopigwa na jopu la watu au kwa jina lingine waweza kuita bendi).
Wana wa orchestra wana mwelekezaji wao ambaye ana weka sawa tempo (kasi), na ana waelekeza wana wa orchestra kwa kutumia fimbo maalum wakati wanapiga moja kati ya nyimbo ambazo huzipiga kwa maonyesho maalum. Kuna watunzi kedekede wa muziki wa klasiki. Lakini hapa kuna orodha chache ya watunzi hao wa mwenendo wa nyakati:
Zama za Kati
Mtindo wa Zama za Kati uliednea sana kunako karne ya 5 hadi kwenye karne ya 15 na waliotingisha walikuwa kina:
Zama za Mwamko
Mtindo wa Renaissance ulibamba sana kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17 na na waliotingishaa walikuwa kina:
Kipindi cha Baroque
The Baroque period was from about the 17th century until the mid-18th century:
Antonio VivaldiKipindi cha Klasiki
Mnamo katikati ya karne ya 18 hadi kunako miaka ya 1820 ilikuwa kikijulikana kama Kipindi cha Classical:
Kipindi cha Romantiki
Kipindi hiki kilianza kunako 1820 hadi 1910 kilijukana kama Kipindi cha Romantiki:
Karne ya 20
Kile kinachojulikana kama Muziki wa klasiki wa karne ya 20 umekuja kuanzia 1910 nakuendelea:
- Claude Debussy
- Maurice Ravel
- Arnold Schoenberg
- Igor Stravinsky
- Bela Bartok
- Benjamin Britten
- Dmitri Shostakovich
- Phillip Glass
- Dmitri Kabalevsky
Kwenye karne ya 20, muziki wa klasiki umebadilika sana. Kuanzia mwaka 1950, vifaa vya umeme vilianza kutumia kwa kutengeneza sauti mpya, na vifaa vya muziki vya umeme vikaanza kutumiwa katika kufanyia muziki huu vilevile.
Tangu mwaka 1970, watunzi wengi wa muziki huu wakaanza kutofautisha baina ya muziki wa rock, pop, classical, asili, jazz na muziki wa dunia, kwa kutoa aina mpya za mitindo ili kuendeleza fani nzima ya muziki.
Renaissance (pia: zama za mwamko, mwamko-sanaa) ni kipindi cha kihistoria cha Ulaya kilichoanza kunako miaka ya 1400, na kikafuatiwa na kipindi cha Zama za Kati, ambacho pia kinajulikana kwa jina maarufu kama Middle Ages.
Neno "Renaissance" linatokana na neno la Kifaransa lenye maana ya "kuzaliwa upya". Sababu zilizopelekea kipindi hiki kuitwa hivyo ni kwamba, wakati huo, watu walianza kuwa na shauku ya kujifunza kuhusu mambo ya kale, kwa namna moja au nyingi walijufunza kuhusu mambo ya Ugiriki ya Kale na Roma ya Kale.
Kwa masomo hayo Renaissance ilionekana kama "kuzaliwa upya" kwa masomo hayo. Renaissance mara nyingi ilisemwa kama ndiyo mwanzo wa "modern age".
Wakati huo wa Renaissance, kuliwa na wasanii wengi sana, wengi wao walikuwa waandishi na wengi wao walikuwa wanafalsafa. Watu walijifunza mabo ya hisabati na sayansi mbalimbali. Mtu aliye mjanja wa kujua vitu vingi huitwa "Mtu wa Renaissance". Leonardo da Vinci, ambaye alikuwa mchoraji, mwasayansi, mwanamuziki na pia mwanafalsafa, huyu ni Mwana Renaissance mashuhuri.
Awali Renaissance ilianzia nchini Italia, lakini punde ikaenea katika Ulaya nzima. Katika Italia kipindi hiki kimegawanyika katika makundi matatu:-
- Renaissance ya Awali.
- Renaissance ya Juu
- Renaissance ya Mwisho ambayo pia huitwa kipindi cha Mannerist.
Kipindi kilichofuata baada ya Mannerist kilikuwa kinaitwa Baroque pambacho pia kilienea Ulaya nzima kunako 1600. Nje ya Italia, ni vigumu kuelezea wapi kipindi cha Renaissance kiliishia na wapi kipindi cha Baroque kilianza.
Jumapili, Desemba 11, 2011
YERUSALEM NA UKUTA WA MAOMBOLEZO
Ukuta huu ni mabaki yanayoonekana ya hekalu la Yerusalemu la pili jinsi lilivyopanuliwa na mfalme Herode Mkuu kuanzia mwaka 20 KK.
Wayahudi wakisali mbele ya Ukuta wa Maombolezo
Ukuta wa Maombolezo (Kiebrania: - hakotel hama'ariv "ukuta wa magharibi") katika mji wa kale wa Yerusalemu ni patakatifu pa dini ya Uyahudi.
Hekalu hilo lilibomolewa na Waroma mwaka 70 BK wakati wa vita ya Waroma dhidi ya Wayahudi.
Ukuta si sehemu ya hekalu lenyewe bali ulikuwa ukuta wa pembeni wa uwanja uliotengenezwa kwa vifusi kwenye mlima wa hekalu.
Jina la "Ukuta wa Maombolezo" limetokana na desturi ya Wayahudi walioonyesha huzuni yao juu ya kuharibiwa kwa hekalu hasa wakisali mahali hapa. Asili ya jina inaaminiwa kuwa Kiarabu, halafu likaingia katika lugha nyingi. Kwa Kiebrania ukuta huitwa "ukuta wa magharibi" tu na hata jina hili limeenea katika lugha mbalimbali. Wayahudi huheshimu mahali hapa kwa sababu ni sehemu ya hekalu la Yerusalemu la mwisho tena sehemu ya mabaki haya yaliyo karibu na Patakatifu pa Patakatifu pa hekalu lile.
Wengi wao huamini ya kwamba Patakatifu pa Patakatifu palikuwa mahali pa kuwepo kwa Mungu duniani ya mlango wa mbinguni ni juu yake. Hivyo ukuta wa magharibi ni sehemu ya karibu na mlango huu.
Wayahudi wamehiji kwenda Yerusalemu kwa karne nyingi kwa kusudi la kusema sala hapahapa.
Kuna desturi ya kale ya kuandika maombi kwa karatasi na kuweka karatasi hizi kati ya mawe ya ukuta.
Wayahudi walikataliwa kwa muda mrefu kupanda juu ya mlima wa hekalu.
Baada ya Yerusalemu kuharibiwa mara ya pili na Waroma (70), na baada ya hao kushinda vita vya pili dhidi ya Wayahudi mwaka 135 eneo la hekalu pamoja na mji wote likakataliwa kwa Wayahudi.
Baada ya utekaji wa Waarabu kulikuwa na vipindi ambapo Wayahudi waliruhusiwa kutembelea mlima wa hekalu na vipindi vingine ambapo walikataliwa. Hivyo desturi ya kusali mbele ya ukuta wa magharibi ilianza.
Tangu takriban miaka 500 marabi wengine walianza kufundisha ya kwamba Myahudi asitembee kwenye mlima kwa sababu kuna hatari ya kuingia katika sehemu takatifu bila ya kutakaswa awali; hasa sehemu za Patakatifu na Patakatifu pa Patakatifu ziliruhusiwa kwa makuhani tu au hata kuhani mkuu pekee. Leo kuna tangazo lenye onyo la Rabi Mkuu wa Israel mbele ya geti la kuingia kwenye eneo la mlima wa hekalu linalosema Myahudi asiingie. Ila tu si marabi wote wanaokubali.
Siku hizi kuna usalama mkali kama kwenye uwanja wa ndege: wote wanaoelekea ukutani wanapita kwenye geti wanapochekiwa wakipaswa kufungua mifuko yote. Watu wote wanaruhusiwa kuingia ila tu wanaume wanaombwa kuvaa kofia kufuatana na desturi ya Kiyahudi.
Alhamisi, Desemba 01, 2011
Kutoka vyombo vya habari na kwa ajili hiyo hiyo.
"Digital Media Creation & Co itakuwa na nafasi ya juu ktk maisha ambapo dhana virtual inaweza kuwa kipimo na wakazi wanaweza kushiriki katika miradi ya ushirikiano wa ubunifu. Kwa njia hii, Pili Maisha ya watumiaji wanaweza kuwa na sauti zaidi katika aina ya rangi, ergonomics, utendaji na sifa nyingine ya bidhaa za wao wanazotaka kununua katika dunia hii. Hii itasaidia wabunifu kutafuta njia mpya ya kuhusiana na watumiaji.
Baada ya hayo moja kwa moja maoni yanaweza kuimarisha kwa kiasi kikubwa mchakato wa kubuni na kusababisha matokeo ya ubunifu na ya kushangaza hatmaye. Hii inafaa na falsafa kwamba design lazima watu wazingatie msingi katika utafiti. Pia sambamba na kampuni ya Digital Media Creation & Co imani kwa hali ya baadaye ya kubuni visivyo vya uongo katika viumbe kwa ushirikiano wa bidhaa. "
Digital Media Creation & Co ina haki kusaini makubaliano ya ushirikiano na yeyote, kuongoza virtual duniani kubuni shirika hilo katika Dunia, kuanzisha Design za kila aina mbele ndani ya Maisha kama "nafasi ya kufanya kazi kwa kushirikiana na ulimwengu halisi".
DIGITAL MEDIA CREATION NDIO INAYOMILIKI HII BLOG.