Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumanne, Desemba 13, 2011

Classiscal Music au Muziki wa Klasiki.


...hii ipo katika aina za orchestra, kikawaida hulenga vyombo vya nyuzi, yaani Violin, viola, cello, na besi-mbili ambavyo ni ni vyombo vya nyuzi; kwa pamoja, vinategemeana kufanya orchestra (muziki unaopigwa na jopu la watu au kwa jina lingine waweza kuita bendi).

Wana wa orchestra wana mwelekezaji wao ambaye ana weka sawa tempo (kasi), na ana waelekeza wana wa orchestra kwa kutumia fimbo maalum wakati wanapiga moja kati ya nyimbo ambazo huzipiga kwa maonyesho maalum. Kuna watunzi kedekede wa muziki wa klasiki. Lakini hapa kuna orodha chache ya watunzi hao wa mwenendo wa nyakati:



Zama za Kati

Mtindo wa Zama za Kati uliednea sana kunako karne ya 5 hadi kwenye karne ya 15 na waliotingisha walikuwa kina:

Zama za Mwamko

Mtindo wa Renaissance ulibamba sana kuanzia karne ya 15 hadi karne ya 17 na na waliotingishaa walikuwa kina:

Kipindi cha Baroque

The Baroque period was from about the 17th century until the mid-18th century:

Antonio VivaldiKipindi cha Klasiki

Mnamo katikati ya karne ya 18 hadi kunako miaka ya 1820 ilikuwa kikijulikana kama Kipindi cha Classical:

Kipindi cha Romantiki

Kipindi hiki kilianza kunako 1820 hadi 1910 kilijukana kama Kipindi cha Romantiki:



Karne ya 20

Kile kinachojulikana kama Muziki wa klasiki wa karne ya 20 umekuja kuanzia 1910 nakuendelea:

Kwenye karne ya 20, muziki wa klasiki umebadilika sana. Kuanzia mwaka 1950, vifaa vya umeme vilianza kutumia kwa kutengeneza sauti mpya, na vifaa vya muziki vya umeme vikaanza kutumiwa katika kufanyia muziki huu vilevile.

Tangu mwaka 1970, watunzi wengi wa muziki huu wakaanza kutofautisha baina ya muziki wa rock, pop, classical, asili, jazz na muziki wa dunia, kwa kutoa aina mpya za mitindo ili kuendeleza fani nzima ya muziki.

Renaissance (pia: zama za mwamko, mwamko-sanaa) ni kipindi cha kihistoria cha Ulaya kilichoanza kunako miaka ya 1400, na kikafuatiwa na kipindi cha Zama za Kati, ambacho pia kinajulikana kwa jina maarufu kama Middle Ages.

Neno "Renaissance" linatokana na neno la Kifaransa lenye maana ya "kuzaliwa upya". Sababu zilizopelekea kipindi hiki kuitwa hivyo ni kwamba, wakati huo, watu walianza kuwa na shauku ya kujifunza kuhusu mambo ya kale, kwa namna moja au nyingi walijufunza kuhusu mambo ya Ugiriki ya Kale na Roma ya Kale.

Kwa masomo hayo Renaissance ilionekana kama "kuzaliwa upya" kwa masomo hayo. Renaissance mara nyingi ilisemwa kama ndiyo mwanzo wa "modern age".

Wakati huo wa Renaissance, kuliwa na wasanii wengi sana, wengi wao walikuwa waandishi na wengi wao walikuwa wanafalsafa. Watu walijifunza mabo ya hisabati na sayansi mbalimbali. Mtu aliye mjanja wa kujua vitu vingi huitwa "Mtu wa Renaissance". Leonardo da Vinci, ambaye alikuwa mchoraji, mwasayansi, mwanamuziki na pia mwanafalsafa, huyu ni Mwana Renaissance mashuhuri.

Awali Renaissance ilianzia nchini Italia, lakini punde ikaenea katika Ulaya nzima. Katika Italia kipindi hiki kimegawanyika katika makundi matatu:-

  • Renaissance ya Awali.
  • Renaissance ya Juu
  • Renaissance ya Mwisho ambayo pia huitwa kipindi cha Mannerist.


Kipindi kilichofuata baada ya Mannerist kilikuwa kinaitwa Baroque pambacho pia kilienea Ulaya nzima kunako 1600. Nje ya Italia, ni vigumu kuelezea wapi kipindi cha Renaissance kiliishia na wapi kipindi cha Baroque kilianza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni