Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumamosi, Desemba 17, 2011

MAJIBU YAFANYAYO KAZI ....The Discovery of Noah's Ark



Mtoto ni mwanadamu mwenye umri mdogo asiye mtu mzima bado. Kuna tofauti katika tamaduni mbalimbali kuhusu umri ambako mtu si mtoto tena. Mara nyingi miaka kabla ya kubalehe inatazamiwa kuwa kipindi cha utoto na baadaye mtu anaitwa kijana. Hali ya mtoto inaamuliwa zaidi na utamaduni na mapokeo yake. Kuna tamaduni ambako kijana wa miaka 16 anatazamiwa kuwa mtu mzima tayari. Hasa wasichana wanaolewa mapema na baadaye wanatazamiwa kuwa mwanamke na mama kamili hata wakiwa na umri mdogo tu.

Katika mazingira ya wakulima au wafugaji mtoto anategemewa kufanya kazi kulingana na nguvu zake anaweza kupewa wajibu kamili hata kama kisheria angetazamiwa kuwa mtoto bado. Kwa lugha mbalimbali katika uhusiano na wazazi wake mtu anaendelea kuitwa mtoto hata kama mwenyewe ameshakuwa mtu mzima na ameshazaa mwenyewe.

Hatua zaidi

Ujana ni kipindi kati ya utoto na utu uzima, unaelezwa kama kipindi cha maendeleo ya kimwili na kisaikolojia kuanzia mwanzo wa kubalehe kwa ukomavu na mwanzoni wa utu uzima. Ufafanuzi wa umri maalum ujana hutofautiana. Ukomavu wa Mtu binafs huenda unakosa kuwa sawa na umri wao, kwani watu wasiokomaa hupatika kDuniani kote tamako "kijana", "adolescent", "kijana", na "mtu kijana" mara nyingi hubadilishana huwa na maana moja. Ujana kwa ujumla inahusu wakati wa maisha ambao si utoto wala utu uzima, lakini mahali fulani kati. Ujana pia hutambua mawazo fulani ya tabia, kama ilivyo katika "Yeye ana Ujana ". Tamko Ujana pia linahusiana na kuwa mdogo.wa umri wowote. Ujana ni neno linalotumika badala ya jina la kisayansi la "adolescent" na matamshi ya kawaida ya "teen" na "teenager". Tamko lingine la kawaida ni Kijana au mtu mdogo.

Ngoja nikwambie msomaji wangu jambo hili, kwamba:
MAJIBU YAFANYAYO KAZI ni kipengele kinachoongelea masuala ya kiroho zaidi.

Kwa sababu ya upekee na unyeti wa siku, Sio vibaya tukibadilishana mawazo na kuambizana yaliyomuhimu katika maisha hasa ya kiroho.
Na huu utakuwa ni mfululizo kwa kila siku kama hii ya leo...

(Namaanisha JumaMosi)

Pamoja na kwamba weeengi wanaamini hii ni kweli, lakini kweli halisi jionee mwenyewe ambapo tutatizama:

The Discovery of Noah's Ark



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni