Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumapili, Oktoba 16, 2011

Kwanza Recordz


Jambo hiloo......nakujulisha ya kwamba:

KWANZA RECORDZ NI STUDIO YA KISASA MKOANI MOROGORO.
WANAPENDA KUWAKARIBISHA WASANII WOTE WA MUZIKI.
KWANZA RECORDS IPO MSTARI WA MBELE KATIKA KUIBUA, KUKUZA NA KUENDELEZA VIPAJI NA MUZIKI WA KITANZANIA.

Kuna wasanii kutoka Italy walikuja Tanzania kukamilisha kibao cha ushirikiano wa pamoja ktk studio ya Kwanza Recordz baina ya wasanii wa Italy na wa hapa BongoTz kinachoitwa "Marafiki".


Kwa mawasiliano:

Email us: kwanzarecords@yahoo.com
Simu: +255 787 070707

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni