Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumanne, Oktoba 11, 2011

KARIBU KATIKA DUKA LAKO...(DUKA LA KUUZA NA KUNUNUA)Habari za leo Mabibi na Mabwana... Ni matumaini yetu nyote mu wazima. Tunapenda kuchukua nafasi hii ya pekee kabisa kuwakaribisha sana katika mtandao huu wa kipekee,kisasa na waina yake ambapo mmiliki wa mtandao huu sio sisi lakini ni wewe ndio maana ukaitwa DUKA LA KUUZA NA KUNUNUA. www.dukalako.blogspot.com . Duka lako ni mtandao ambao umetengenezwa kwa nia na madhumuni ya kukurahisishia wewe mfanya biashara mtanzania popote pale Duniani, au wewe mtu binafsi kuweza kununua au kuuza bidhaa yako yoyote ile kupitia mtandao huu wa DUKA LA KUUZA NA KUNUNUA.Bidhaa hizo ni pamoja na Computers,Simu za mkononi,vifaa vya majumbani, Vifaa vinginevyo mbali mbali, Magari nyumba na kitu chochote ambacho unataka kukiuza kiwe ni kipya au chazamani utaweza kukiweka hapa na kitauzwa moja kwa moja. Kama ni Second hand mwenye mali atatakiwa kusema kabisa.Yafuatayo ni maelezo ya jinsi ya kutumia mtandao huu:

1. Hii ni fursa ya mtu yoyote yule anaetaka kuweka bidhaa yake ipate kuuzwa na kununuliwa hapa,ndio maana ikaitwa Duka lako(Duka la kuuza na kununua). Utatakiwa utume bidhaa yako ukiambatanisha na bei zako pia mawasiliano ya barua pepe ama namba yako ya simu.

2. Ni muhimu unapo leta bidhaa yako iwe ni picha halisia kabisa ambayo umepiga wewe mwenyewe na sio ambayo umeitoa Google ili kuepusha usumbufu wakati unawasiliana na mteja wako anaetaka kununua bidhaa hizo.

3. Mtu anaetakiwa kuweka bidhaa hapa anatakiwa aweke specification ya bidhaa yake kama zipo mfano Kompyuta,simu na vitu ambavyo vitahitajika kuweka maelezo yake, atatakiwa kifanya hivyo ili kumrahisishia mteja wake kufanya maamuzi yaliyo sahihi na ikumbukwe kwamba duka hili ni lako wewe ambae utaweka bidhaa zako hapa.sana mtuwekee na link za tovuti zenu ili mtu akiingia apate kuona zadi kuna nini ndani ya duka lako.

5. Katika kuweka Bidhaa hizo katika duka Lako mteja atachangia kiasi kidogo cha fedha ili kuendeleza ufanisi wa kazi zetu,pia atatangaziwa bidhaa zake katika njia mbali mbali.

6. Tunaomba Baada ya mteja kupata mteja na bidhaa yake kuuzwa awasiliane nasi ili tuweze kuitoa bidhaa hiyo na kuwapisha wengine wanao weka bidhaa zaidi.Wateja wetu kumi wa kwanza ambao tutapata barua pepe zao kupitia (dukalako@live.com) baada ya kumaliza kusoma hapa, watauza bidhaa zao hapa Bure kabisa kwa muda wa wiki moja kuanzia leo, kuwa wa kwanza sasa kuweka bidhaa yako hapa na kuuza na kupata wateja mapema iwezekanavyo. tunawahakikishia kuwa kwa njia hii mtaweza kuuza vitu vyenu kwa haraka na uhakika zaidi. kwa maelezo zaidi na kuona zaidi Tembelea Duka lako sasa. Tunatanguliza shukrani zetu pia ukiona hii mwambie na mwenzako pia asipitwe na Duka hili muhimu kabisa kwa watanzania wote popote Duniani.Tuma Bidhaa zako kupitia Barua Pepe: dukalako@live.com
Wasiliana nasi kabla ya kutuma bidhaa au baada ya kutuma bidhaa kupitia namba ya simu hizo chini:
+255 762039028 au +255 714233895Tembelea Duka hili hapa: www.dukalako.blogspot.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni