Diplomasia na majadiliano baina ya nchi moja au nchi zaidi ya moja na nchi nyingine.

Kuna kipindi mazungumzo haya uhusu masuala ya kibiashara,
na kuna kipindi uhusisha masuala ya vita na amani.

Diplomasia hutokea sana pale nchi mbili au zaidi zikipigana.
Diplomasia inasaidia kusimamisha vita baina ya nchi mbili.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni