... au kifo ni mwisho wa uhai; kwa lugha ya biolojia mwisho wa michakato yote ndani ya kiumbehai ambayo ni dalili za uhai.
Mauti hutokea kutokana na sababu mbalimbali kama vile
- umri mkubwa unaosababisha michakato ya kimsingi mwilini kusimama polepole
- muda mrefu wa maisha unaoruhusu makosa na kasoro kujumuika na kusababisha madhara (mfano: kansa)
- magonjwa yanaovurugisha michakato ya uhai hadi kuisimamisha
- ajali zinazoharibu viungo muhimu mwilini
- ukosefu wa chakula, maji, hewa au kinga dhidi ya mazingira magumu
- athira haribifu kutoka viumbe wengine (k.m. kushambuliwa) au kutoka mazingira
Kwa binadamu kutokea kwa kifo mara nyingi hakutokei mara moja; katika mazingira ya kawaida kifo kinaonekana kama moyo hausikiki tena na mapafu hayakupumua kwa dakika kadhaa. Lakini hata hivyo kuna uwezekano ya kwamba kazi ya moyo na mapafu ni hafifu kiasi haitambuliki. Penya hospitali nzuri na mitambo ya kiganga mara nyingi mtu anarudi katika maisha kama ameshatazamiwa ameaga dunia mahali pengine. Kama mashine zineendelea kuchukua kazi ya moyo na mapafu si rhbisi kujua kifo kinatokea kini. Wataalamu wengi siku hizi wanaona mara michakato ya kawaida ya ubongo imekwisha kifo kimetokea.
Mauti na utamaduni
Katika utamaduni na imani za watu mauti ni jambo muhimu. Lugha ina njia nyingi ya kuitaja kwa mfano kuaga dunia, kufariki n.k.
Katika dini na falsafa kuna misimamo mbalimbali kuhusu mauti kama vile
- Mauti ni mwisho wa binadamu kimwili na kiroho; hakuna kinachobaki baada ya kifo
- Mauti ni hatua tu katika mzunguko wa maisha; nafsi au roho inarudi katika maumbile mengine
- Kifo ni kupita penginepo: maisha ya milele, mbinguni, upeo wa wafu n.k.
Ndugu msomaji: MAJIBU YAFANYAYO KAZI ni kipengele kinachoongelea masuala ya kiroho zaidi.
Kwa sababu ya upekee na unyeti wa siku, Sio vibaya tukibadilishana mawazo na kuambizana yaliyomuhimu katika maisha hasa ya kiroho.
Na huu utakuwa ni mfululizo kwa kila siku kama hii ya leo...
(Namaanisha JumaMosi)
Pamoja na kwamba weeengi wanaamini hii ni kweli, lakini kweli halisi jionee mwenyewe ambapo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni