Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatano, Novemba 24, 2010

NI MUHIMU KUFANYA MAZOEZI

Ni muhimu kufanya mazoezi,
ni kwamba unauweka mwili wako safi na pia unaepukana magonjwa madogo madogo
Bibi anasema, usidhani wewe tu unaweza.
Hata mimi naweza usidhani umri ni kitu ha ha ha ha:-)!!!!
...Mmmmmhhh!!
Nawaza kwa sauti hivi huyu bibi ana mifupa kweli?

Maoni 1 :

  1. Hahahahahaa. Eti unawaza kwa sauti; Mtayarishaji bwana. Huyu bibi ana mifupa ila ameweza kui-controll. Hiyo ndo faida ya mazoezi.

    JibuFuta