DO NOT GIVE UP.
THE BIGINNING IS ALWAYS THE H a r D e s t.
"NI HERI KUFA KATIKA FIKRA ZINAZOISHI KULIKO KUISHI KATIKA FIKRA ZILIZOKUFA."
Mtayarishaji
Morning Star Radio
Jumatano, Novemba 24, 2010
NI MUHIMU KUFANYA MAZOEZI
Ni muhimu kufanya mazoezi, ni kwamba unauweka mwili wako safi na pia unaepukana magonjwa madogo madogo
Bibi anasema, usidhani wewe tu unaweza. Hata mimi naweza usidhani umri ni kitu ha ha ha ha:-)!!!! ...Mmmmmhhh!! Nawaza kwa sauti hivi huyu bibi ana mifupa kweli?
Hahahahahaa. Eti unawaza kwa sauti; Mtayarishaji bwana. Huyu bibi ana mifupa ila ameweza kui-controll. Hiyo ndo faida ya mazoezi.
JibuFuta