Mtayarishaji

Morning Star Radio

Ijumaa, Februari 08, 2008

Dondoo za Uchumi

Asilimia 60 ya biashara nchini zinafilisika kwa sababu watendaji wake wanaziendesha bila kuzingatia maadili.Wastani wa biashara mpya 65 kati ya 100 zinazofunguliwa,haziendelei licha ya kuwepo sababu za kiushindani,ukosefu wa mitaji,kufanyia sehemu zisizofaa na kutozingatia maadili.

Kampuni ya uwekezaji wa pamoja nchini NICOL itaelekeza nguvu zake za uwekezaji katika usindikaji wa bidhaa za kilimo viwandani kuanzia mwaka 2008.

Kampuni moja kubwa ya Malaysia ya Marrybrown inatarajia kufungua mgahawa wa kisasa Dodoma kuanzia april mwaka huu utakaogharimu dola za Marekani 500,000 (wastani wa Sh 596.5 million.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni