Mwimbieni Bwana wimbo mpya,na sifa zake tokea mwisha wa dunia;
Ninyi mshukao baharini,na vyote vilivyomo,Na visiwa,nao wakaao humo.
Jangwa na miji yake na ipaze sauti zao,Vijiji vinavyokaliwa na kedari;Na waimbe wenyeji wa sela,wapige kelele toka vilele vya milima.Na wamtukuze Bwana,
Na kutangaza sifa zake visiwani.Bwana atatokea ka shujaaAtaamsha wivu kamamtu wavita;Atalia,naam,atapiga kelele;
Atawatenda adui zake mambo makuu.
Isaya 42:10-13
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni