Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatano, Februari 06, 2008

Hi Ndio HakikaNi sehemu tu,ninaamini kila kitu kilicho mbele yetu ni sehemu tu ya uhalisia uliotakiwa uonekane.Tuna upande usioonekana wa uhalisia.Kama vile hisia zetu na mihemko.tizama jinsi utakavyooanza safari kupitia njia hii kuanza.


Ni kweli kwamba tunajali sana vitu vilivyo nje yetu kwa kudhani kwamba hivyo pekee ndivyo vyenye kufanya uhalisia wa maisha.Vile vilivyo ndani tusivyoviona ndivyo ambavyo vinafanya maisha yawe na maana kubwa kuliko vile vilivyo nje yetu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni