Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatatu, Novemba 04, 2013

CHAKULA GANI UNAKIPENDA SANA?




Mtu ambaye hula kila kitu asimdharau yule ambaye hawezi kula kila kitu; naye ambaye hula tu mboga za majani asimhukumu anayekula kila kitu, maana Mungu sio kwamba amemkubali bali hajaelewa ni nini Mungu anashauri.

Watu huhitilafiana: mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine kwa mujibu wa imani yake hula tu mboga za majani na matunda vyakula vinavyoshauriwa kuvitumia kwa mujibu wa utaratibu wa AFYA..  

Vyakula na mboga za asili ni vile ambavyo vinaota porini na kutumiwa na binadamu. Wengi wetu huviita kama vyakula pori ambavyo ni pamoja na mboga pori, matunda pori ama mizizi pori.

Utafiti uliofanywa umeonyesha kuwa, matumizi ya vyakula asili bado upo Afrika na hapa nchini Tanzania.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni