Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatatu, Machi 12, 2012

Uwajibikaji na Umakinifu


Kijicho ni hisia au kilema kinachomfanya binadamu asikitikie mambo mema waliyonayo wengine. Kutokana nacho mtu anawatenda namna isiyopendeza na kusababisha matatizo makubwa katika maisha ya jamii.

Uzembe ni kukosa uwajibikaji na umakinifu katika kutenda.
Katika maadili, unahesabiwa kati ya vilema vikuu (au mizizi ya dhambi) kwa kuwa unasababisha makosa mengine mengi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni