Tuanze kwanza kwa kusikiliza na kutazama nyimbo hizi, kikubwa hapa ni kutafakari ujumbe uliomo ndani ya nyimbo hizi maana tukisema tuanze kuzichambua bado tutakuta ndani kuna vionjo vya Rock and Roll.
....na kama hakutakuwa na haja zaidi basi hii itasaidia jambo.
Ndio kweli yenyewe kwamba:
...naam sasa tuendele.
Ukifikiria hata DHAMBI ,...
....halafu ukafanya DHAMBI,...
.... labda LADHA ya dhambi huongezeka CHACHU!:-(
Swali:
- Huwa unafikiria kabla ya KUFANYA kitu?
- Na hufikiri UKIFANYA bila KUFIKIRIA na UKIFIKIRIA na KUFANYA kitu kilekile UGALI labda chaweza kuwa na LADHA mbili tofauti?
Jifunze KUFIKIRIA kwanza ,....
..... na UKISHA kuwa MASTA wa KUFIKIRIA kabla ya KUFANYA,...
...FIKIRIA halafu FANYA sasa ,...
.... kuna wadaio ndio WAFANYAO kwa BUSARA wafanyavyo.Swali:
- Lakini kwa KUFIKIRIA si yasemekana ndio maana mengi ya busara kama yangefanyika bila KUFIKIRIA ndio maana WENYE BUSARA hawayafanyi na kusababisha tatizo liko palepale kwa kuwa hakuna AFANYAYE TATUZI kwa kuwa wenye TATUZI kitakiwacho kufanyika KIKIFIKIRIWA kwanza HAKIFANYIKIKI?
Ndio,...
.... labda moja ya tatizo la KUFIKIRIA kabla ya KUFANYA kitu,...
..... sio tu kuwa MUDA wa KUFANYA hautatosha kwa kuwa muda utatumika pia na KUFIKIRIA kabla ya KUFANYA.:-(Habari hii ila sio nyimbo za pale juu nimeipata ktk link hapo chini.
http://simon-kitururu.blogspot.com/2011/11/tatizo-la-kufikiria-kabla-ya-kufanya.html
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni