Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatano, Novemba 30, 2011

JERRY MURO HATMAYE

…hatimaye Mwandish wa habari Jeri Muro ameachiwa huru, mwandishi huyo aliyekuwa anafanya kazi TBC alikuwa anakabiliwa na kesi ya kudai rushwa...


Jerry Muro alipewa Tuzo na Wamarekani,.pia akapewa nafasi miezi sita kwenda Kwa mluo Obama, kituko;' wakambania pale Itv' nafasi yake'yake Dongo akamaindi akapiga mzigo'chini. Mtaalam Mhando Tido akaona wenzake Itv wamechezea Lulu akamkaribisha Tbc, habari ndio hiyo MEEN. Duh People wana data za watu hadi inatisha!!!Hebu tujikumbushe jambo kuhusu namna alivyo PASUA JIPU - Part IKUNA MISEMO TOKA KWA WATU MBALIMBALI KTK MITANDAO, NA NI YA KUITAFAKARI:

Kijana, litumikie Taifa lako kwa moyo wako woote, akili zako zoote na nguvu zako zoote. We are what we think. With our thoughts we make the world. Mwenye njaa hana masikioKunawa uso ni kufukuza usingizi kwa mda... " Masikini haishiwi NDOTO !!! "'' Mtu ni Utu sio Kitu''A Little Impatience can spoil great plan! Watcha gonna do when they come for you?


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni