Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumapili, Oktoba 23, 2011

....masuala mbalimbali.

Wimbo au nyimbo ni burudani moja wapo iliyo na mgawanyiko mkubwa katika jamii. Wimbo ni sehemu ya sanaa ya muziki.

Wimbo au nyimbo ziko za namna nyingi tu, zipo nyimbo za kwaya, nyimbo za starehe na masuala mbalimbali, fujo, kuhamasisha juu ya gonjwa la ukimwi, kuombeleza n.k.

Kama nitakuwa nimesahau jambo nikumbushe tu si vibaya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni