Mtayarishaji

Morning Star Radio

Ijumaa, Oktoba 07, 2011

KWETU PAZURI JAMANI

Ngoja nikwambie msomaji wangu jambo hili, kwamba:
MAJIBU YAFANYAYO KAZI ni kipengele kinachoongelea masuala ya kiroho zaidi.
Kwa sababu ya upekee na unyeti wa siku, Sio vibaya tukibadilishana mawazo na kuambizana yaliyomuhimu katika maisha hasa ya kiroho.
Na huu utakuwa ni mfululizo kwa kila siku kama hii ya leo...

(Namaanisha JumaMosi)

Pamoja na kwamba weeengi wanaamini hii ni kweli,
lakini kweli halisi jionee mwenyewe ambapo

Ambasador of Christ

Wanapotupatia vitu muhimu:
Ukiona haijakolea ongezea na hii.......YaaniHahahah ukiona raha inazidi changanya na huu wimbo!!!Una cha kuongeza?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni