Mtayarishaji

Morning Star Radio

Alhamisi, Agosti 25, 2011

SINA CHA KUONGEZEA KATIKA MAAJABU YA DUNIA

Itizame vizuri hii pichaMaajabu ya dunia yapo ktk orodha ya pekee iliyodumu tangu kale.


Je, unajua kitu kuhusu Maajabu ya dunia kama enzi zake au matokeo yake?

Maajabu ya dunia tangu karne na karne, japo hakuna jipya chini ya Dunia.

Orodha ya makala inayofuatana kwa mtindo wa picha.

Mlima katika vivutio 28 duniani vilivyo fikia hatua hiyo na upigaji kura.


Maajabu ya dunia: Hazina isiyo kifani.Ama kweli duniani kuna maajabu ya kutisha.
Yalitokea huko majuu kwa ndugu wa mama mmoja kupendana sana kimapenzi kiasi cha dada kukubali kuachika na mumewe aliyezaa nae binti. Mama wa watu hao aliwakuta sebuleni wakijivinjari, hakuamini macho yake, alipagawa na kupiga kelele na simu polisi.

Ndugu hao walishtakiwa kwa kutenda kosa la kujamiiana.
Kipimo cha GSA kiitwacho Genetic Sexual Atraction, kinachomaanisha kuna genes ambazo huwafanya ndugu wawe crazy atracted sexually with each other kilichukuliwa kwa ndugu hao majibu kutoka yakashabihiana na ndugu hao hivyo ripoti inasema GSA ipo kwa asilimia zaidi ya hamsini kwa wanandugu wanaokuja fahamiana ukubwani.

Mama yao aliwaomba radhi vijana wake na akaisihi jamii kutowatenganisha watoto mpaka ukubwani. Baada ya hili jamani tusiwashangae sana ndugu kupendana ni genetic make up, au wewe una mtizamo gani kuhusiana na suala
hili.

HII SIMULIZI NIMEIKUTA KTK JAMII FORUM.

Kama hii ni ziara yako ya kwanza, ninakukaribisha wewe tena.
Na ikiwa siyo mara yako ya kwanza bado pia nina kukaribisha tena-ila usisahau kuacha unyayo.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni