Mtayarishaji

Morning Star Radio

Ijumaa, Julai 08, 2011

Kweli kila mtu Bwana...UNAWAZA NINI SASA HIVI (Tokeni Mijini)!!!

Tutaendelea na mtiririko wa chapisho la kitabu TOKENI MIJINI. Kutokana na majukumu kunizidi hasa mchakato wa kujiweka fiti ktk mpango wa DIGITAL MEDEA CREATION umepelekea kutoendelea na mtiririrko wa kitabu hicho, naomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza maana hata sikukujulisha kuwa nitatingwa.

Kukaa mahali pa upweke kama hapa kuasaidia utulivu ktk akili.


Ama maeneo ua miinuko, kuna hewa safi sana na Halisi inayosafiri toka mbaaali.


Wakati mwingine mazingira nayo ni sehemu kubwa katika tiba.


Kweli kila mtu Bwana inabidi...Sijui UNAWAZA NINI.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni