Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumamosi, Julai 09, 2011

KAMA NDIO MIND CONTROL YA SASA...

Majukumu yamenizidia kiasi cha kushindwa kukutana nawe mahali hapa katika muendelezo wa kuelimishana.

Kuna mambo ilinilazimu kupata muda wa kujifunza. Kuna namna nzuri ambayo itasababisha kila mmoja kujijenga na kuwa na uwezo wa kupambanua, kuchanganua na hata kuainisha.

Hivi sasa Dunia imekuwa na muelekeo mwingine kutokana na mbinu inayotumiwa na wanaodhani kuwa ni wajanja KupitiaMIND CONTROL.John Kundi: Aliwahi andika ktk ukuta wake kwenye facebook hv:

Jesus of Nazareth!!


In MATHEMATICS,he is the one who proved that one plus one is equal to one by marriage and trinity.


In ENGLISH, he obtained the highest degree by teaching parables.


In CHEMISTRY, he turned water into wine without chemical reaction.


In BIOLOGY, he was born without the normal reproduction method.


In PHYSICS, the disproved the law of gravity when he ascended into Heaven without any aircraft and the law of locomotion by walking on sea.


In ECONOMICS, he disproved the law of diminishing return by feeding 5,000/- men with two fish and 5 loaves of bread.


In AGRICULTURE, he turned the fishers of fish into fishers of men.


In HISTORY, he is the beginning and ending,the ancients of days.


In GOVERNMENT, he said that he shall be called wonderful counselor.....

Can somebody shout Hallelujah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuanzia Sasa Tutaendelea na Mtiririko wa Chapisho la Kitabu Kiitwacho TOKENI MIJINI.

Maoni 3 :

 1. Lakini kwa wasioamini ya :Jesus of Nazareth!!

  Si yote yajengewayo nguvu ya hoja kupitia huyo huonekana ni staili tu ya MIND CONTROL na ndio maana kuanzia WAKOLONI enzi hizo mpaka wajasiliamali wa MAKANISA siku hizi ki-MIND CONTROL ujanja ni kumtajataja YESU?

  Nawaza tu!:-(

  JibuFuta
 2. @Simon Mkirene A.K.A Rasta. Ahsante kwa kutembelea kijiweni hapa. Hapo ndipo hoja ilipoibukia ki-busara fikirishi.

  Mtazamo unaozungumza kupitia fikra pevu...inawehusha maana ni nani aliye na hakika na sura ya Yesu japo Biblia inasimamia ukweli wa Historia na matukio yalivyokuwa sio Sura halisi ya mhusika kama walivyoigiza ama wanavyoichora.

  Kwa kuwa imani ni kitu kingine kadri tunavyojikita kujifunza ndivyo mambo yanavyoendelea kuwa bayana. Njia ni kutafiti ili kubaini HALISIA.

  JibuFuta
 3. @Rasta Mcharia: Nawasiwasi na kipengele``Biblia inasimamia ukweli wa Historia na matukio yalivyokuwa....´´´kama ulivyosema hasa kwenye ``HISTORIA´´ kwa kuwa kihistoria wataalamu kibao wanashindwa kuoanisha HISTORIA na jinsi simulizi za BIBLIA zilivyo kitu ambacho inawezekana KIMTAZAMO FULANI ikawa sio sahihi kuitumia BIBLIA kinukuu za kihistoria. Kitu kifanyacho mipaka ya Israel kama NCHI iwe ni kitendawili kitakachofanya MPAKA ugomvi wa Waisrael na Wapalestina usiwe na mwisho ukizingatia tayari unamwanzo mbaya.


  Ila nakubaliana sana tu nawe katika mengine 100%

  Kuhusu sura ya YESU na mengineyo naamini misigni ya jibu ni IMANI tu na kwa bahati mbaya si kila mtu huamini sawasawa!:-(

  JibuFuta