Mtayarishaji

Morning Star Radio

Alhamisi, Mei 19, 2011

MAUA MUSIC CENTREHivi sasa TM MUSIC MINISTRIES TANZANIA ina album ya pili ya video na imefyatua audio namba 3 na 4. Je utahitaji? msambazaji wa nyimbo za injili pekee Tanzania na ambaye mpaka hivi sasa wakazi wa Africa Mashariki wameshaanza kumtumia hasa watu wa Rwanda, Burundi na Uganda .

Wasiliana na MAUA MUSIC CENTRE kwa namba zifuatazo: +255 783 096 007 na +255716 313 488 na sikia baadhi ya nyimbo anazosambaza hapa www.mtangazaji.blogspot.com na kijiweni humu humu ulimo pia.

Maoni 3 :

  1. Ahsante sana kwa wimbo huu ni mara ya kwanza kuisikia nimeupenda sana. Unakufanya mtu uwe na furaha kwa kweli

    JibuFuta