Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumapili, Aprili 24, 2011

SwahiliTruth


Salaam mwana Blog na mpenda kujifunza,

Leo twakukaribisha kwenye mtandao huu. Katika nyakati hizi za taabu twahitaji mwongozo na majibu. Mtandao huu ni kwa ajili yako wewe! NA LEO NAUTAMBULISHA RASMI KWAKO. Waweza kupokea na kunakili kitabu cho chote au makala yo yote.

Tutakuwa tukiongeza vitabu na vijizuu zaidi katika orodha hii katika siku za usoni.

Asante Sana wako; R.M. (Rudy) Harnisch

Kuwasiliana nasi tumia mojawapo ya anuani hapo chini:

kwa Kiswahili:

panotec@hotmail.com

kwa Kiswahili:

frank_mwakyoma@yahoo.co.uk

http://www.swahilitruth.com/

Maoni 2 :

  1. Asante kwa kiunganishi cha shule hiyo mpya!Ngojea niende huko basi!

    JibuFuta
  2. Nimetoka hapo muda si mbali, nilikuwa napitia chapisho linalosema TOKENI MIJINI.

    Kuna kipengele kinaitwa "Maono ya Maangamizi Makubwa".

    MH!!

    JibuFuta