Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumanne, Aprili 05, 2011

Hi Ndio Hakika

Hiki ni kipachiko changu cha kwanza nilipoanza kublog hapa kwa Mtayarishaji, ilikuwa ni Wednesday, February 6, 2008. Mpaka hivi sasa sijui www.mtayarishaji.blogspot.com itakuwa imetimiza miaka mingapi...bado NAWAZA, au utanisaidia jibu.....NA SIKU HIYO, NILIANDIKA HIVI:


Ni sehemu tu, ninaamini kila kitu kilicho mbele yetu ni sehemu tu ya uhalisia uliotakiwa uonekane.Tuna upande usioonekana wa uhalisia.Kama vile hisia zetu na mihemko. Tizama jinsi utakavyooanza safari kupitia njia hii kuanza.
Sio ka zamani sasa haka ka MGUU KIATU, nimekatoa hivi karibuni tena leo hapa:
www.nkya85.blogspot.com

Ni kweli kwamba tunajali sana vitu vilivyo nje yetu kwa kudhani kwamba hivyo pekee ndivyo vyenye kufanya uhalisia wa maisha.Vile vilivyo ndani tusivyoviona ndivyo ambavyo vinafanya maisha yawe na maana kubwa kuliko vile vilivyo nje yetu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni