Mtayarishaji

Morning Star Radio

Ijumaa, Machi 11, 2011

Tusipozungumzia Vikwazo vya Maisha...!!


Matarajio ya watu wengi wanapoingia kwenye ndoa huwa ni kupata faraja, ni wachache kati yao hufikiria kukutana na vikwazo vya kimaisha.

Tafiti zinaonyesha kuwa wakati mtu anapotafuta mwenzi huamini toka moyoni kuwa akiwa na waridi wake matatizo ya upweke, kukosa msaada wa hili na lile yatakwisha lakini baadaye anakuja kubaini kuwa aliyokusudia kuyapata hayapati tena na hivyo kujuta kwa kauli kama hizi.


“Kama ningejua kama mwanaume mwenyewe yuko hivi nisingekubali kuolewa.”


Kauli kama hizi mara nyingi hutokea kwa watu ambao hawazungumzii matatizo na vikwazo wanavyokutana navyo katika mapenzi na kuviondoa.


...sio kwamba naongelea ndoa au mahusiano!!!

Kwa sababu ya upekee na unyeti wa siku, Sio vibaya tukibadilishana mawazo na kuambizana yaliyomuhimu katika maisha hasa ya kiroho. Na huu utakuwa ni mfululizo kwa kila siku kama hii ya leo...(NAMAANISHA JUMAMOSI)

Pamoja na kwamba weeengi wanaamini hii ni kweli, lakini kweli halisi jionee mwenyewe kuhusu SATANISM IN HIP HOP HALAFU UTAFAKARI.Nakutakia SABATO njema R a F i K i.


U m E o N a E e e...!!!!

Tujipe moyo kupitia Prince Amos ambaye ni mtayarishaji wa Music na Video, mmoja wa marafiki zangu muhimu sana hapa Duniani anaposema "AMENIFANYIA NJIA".

Maoni 3 :

  1. kaka ubarikiwe sana!ukimwachia Mungu ndoa yako,naye ataibariki!

    JibuFuta
  2. Ahsante sana Swahili na Waswahili pia kujihudhurisha katika jamvi hili, barikiwa.

    JibuFuta
  3. KWA KWELI DUIA IMEKWENDA MBALI. WATU WAMEPOTOKA NAKUMWAMCHA MUNGU.NIMEIANGALIA HIYO VIDEO YA SATANISIM IN HIP HOP, KWAKWELI NIMAMBO YANAYO TISHA, VIJANA WAWENGI WATAPOTEA HIP HOP IMEWATEKA, YESU ANARUDI TENA

    JibuFuta