Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumamosi, Februari 26, 2011

UKWELI NYUMA YA PAZIA

This is really eyeopening.
Thank God for you brother.
Continue to educate us.
God bless you.

Mpendwa rafiki, majukumu si kwamba ni meeengi kiasi cha kuelemewa na wingi hadi kushindwa kuhimili-tatizo ni changamoto tunazokabiliana nazo hivyo kupelekea kuwa kimya Tangia jumamosi iliyopita hadi unaposoma hapa hivi sasa...
hata hivyo nilikuwa katika mchakato wa angalau kuwa na namna ambayo utapata fursa ya kusikiliza baadhi ya vipindi vya radio ninavyotayarisha na kuendesha kila kunapoitwa siku. Lakini kwa leo mara baada ya safari ndefu na ngumu ya kuangalia ni nini muhimu kulingana na siku yenyewe ilivyo (jumamosi) kwa ajili yako, ujumbe uliokusudiwa kwenda kwa kasi ndio huu.
Bible studies about the latter days.. We are living times of deception, danger,hate. But there is hope for humanity. Kilichomuhimu kwa siku ya leo ni: Highly informative sermon outlining how music has been manipulated by the enemy and transformed into a weapon to link us all to the world. You will discover what true Godly music sounds like as well as know how secular and even Christian music is deceiving millions.
WARNING:
These videos contain graphic music content.
No cursing, but may not be suitable for young children.

Kwa hili naamini kabisa utajifunza kitu.


...Tafakari na Chukua Hatua.

Maoni 1 :

  1. Hello colleagues, its great article concerning teachingand entirely defined,
    keep it up all the time.
    my site - workout help

    JibuFuta