Mtayarishaji

Morning Star Radio

Alhamisi, Februari 03, 2011

HATARI YA KUEPUKWA

Una cha kusema???

Maoni 6 :

 1. Lakini si tatizo shuleni labda ilikuwa kuna MBWA kichaa na kaenda kumsaidia kufa na wala tatizo halikuwa linahusiana na MTU?

  Nawaza tu kwa sauti!:-(

  JibuFuta
 2. Boy are you serious with this cartoon? Nimefurahishwa na uga wako si haba.
  Have a spiffy weekend.

  JibuFuta
 3. Labda tatizo lilikuwa ni ubishi kuwa BASTOLA si ya plastiki.
  Akaipeleka, akawaonyesha, wakakubaliana kuwa si plastiki, na sasa anairejesha nyumbani
  Hahahahaaaaaaaaaaa

  JibuFuta
 4. Kama asemavyo mzee wa FALSAFA na wazo ndani ya NENO... HII NI MAWAZONI PICHANI.

  JibuFuta
 5. Hapa Marekani hili ni jambo la kawaida. Mtoto anakorofishana na wenzake anakuja kuiba bunduki ya baba na kwenda nayo shuleni kumaliza mambo...

  JibuFuta