Mtayarishaji

Morning Star Radio

Alhamisi, Februari 14, 2008

Nipo kando yangu,mahali pa tulivu,ng'ambo ya mto ububujishao ndege wanaimba,upepo tulivu unavuma,mwanga wapendeza kuona.Njiani sikati tamaa hakika safari nitafika.
Kimya moyo unasema,sawa na punda aimbaye.Panda itakapolia ni nani atakaye ningoja? Vazi safi harusini karamu karibu kuanza,safari hakika nitafika njiani sikati tamaaa.

Ndivyo mshkaji katika picha anavyojipa moyo,hebu fikiri kama ungekuwa ni wewe ng'ombe anakufukuza kwa namna ya aina yake ungefanyeje? kila unapokimbilia yeye yupo nyuma hapo jirani,mwisho wako unadhani ni nini? TAFAKARI.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni