Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumatatu, Mei 30, 2011

....MUGABE'S BUS


Jamani, majukumu yamenizidia kiasi cha kushindwa kukutana nawe mahali hapa katika muendelezo wa kuelimishana. Kuna mambo ilinilazimu kupata muda wa kujifunza. Kuna namna nzuri ambayo itasababisha kila mmoja kujijenga na kuwa na uwezo wa kupambanua, kuchanganua na hata kuainisha.

Nimejifunza kwamba hivi sasa Dunia imekuwa na muelekeo mwingine kutokana na mbinu inayotumiwa na wanaodhani kuwa ni wajanja na njia yenyewe ni MIND CONTROL.

Lakini kwa sasa natumai umejionea picha hizo hapo juu ambazo nimezikuta kwa Wall ya DAVID KABATI katika facebook.

Maoni 2 :

  1. duhhhh hii kiboko,kama basi liko hivyo nyumba jee itakuwaje?
    Pole kaka Mcharia kwa majukumu, lakini ipo siku utavuna unachopanda sasa,Nakutakia mafanikio mema kaka.

    JibuFuta
  2. @Swahili: Ahsante sana ndugu yangu.

    JibuFuta