Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumamosi, Februari 12, 2011

WILLIAM A, IZUNGO


NI MIONGONI MWA MARAFIKI NILIONAO, NAJIVUNIA KUFAHAMIANA NAYE, NI MWEZI HUU HUU ANACHUKUA JIKO (kuoa) JAPO MASKANI YAKE NI NCHINI CANADA.NI MWANA HARAKATI NGULI KATIKA KUHAKIKISHA KONDOO WA BWANA WANABAKI ZIZINI, ELIMU YAKE YA UCHUNGAJI AMEIPATIA KATI CHUO KIKUU CHA WAADVENTISTA WASABATO KILICHOPO ARUSHA (University of Arusha)LEO KWA SABABU YA UPEKEE NA UNYETI WA SIKU SIO VIBAYA TUKIBARIKIWA NA MIONGONI MWA NYIMBO ALIZOZIIMBA NA KUZIREKODI, MPAKA SASA ANA ALBUM MBILI ZILIZO SOKONI NA HII NI MOJA YA KAZI YAKE.NAKUTAKIA SABATO NJEMA...Enjoy Blessings.Maoni 4 :

 1. Ahsante kwa wimbo mzuri na pia nichukue nafasi kwa kuwatakia watarajiwa kila la kheri yaani kwa kutarajia kupata jiko karibuni!!

  JibuFuta
 2. Napenda watu wa jinsi hii, wanaojitolea kuhakikisha kondoo wanabaki zizini.

  Sabato njema jamani.

  JibuFuta
 3. Namtakia kila la kheri kwa kuamua kuachana na maisha ya ukapera!

  Na naimani kuwa anamuongozo bora kwa maisha yake ya NDOA kwa kuwa ni mcha MUNGU ,...
  .... hasa kwa kuwa maisha ya ndoa yanakasheshe zake pia na ndio maana sio kila aliyeko kwenye ndoa anachekelea maisha ya ndoa!

  Asante kwa wimbo pia!

  JibuFuta
 4. Ahsante kaka kwa burudani ya mafanikio!
  watarajiwa nami nawatakia kila la kheri katika safari yenu na karibuni sana!

  JibuFuta