Mtayarishaji

Morning Star Radio

Jumamosi, Februari 19, 2011

Satanism in hip hop Encore Edition pt1 (Snoop the DOG STAR)

LEO KWA SABABU YA UPEKEE NA UNYETI WA SIKU SIO VIBAYA TUKIBADILISHANA MAWAZO NA KUAMBIZANA YALIYOMUHIMU KTK MAISHA HASA YA KIROHO.NA HUU UTAKUWA NI MFULULIZO KWA KILA SIKU KAMA HII LEO, NA MAANISHA JUMAMOSI.PAMOJA NA KWAMBA WEEENGI WANAAMINI HIII NI BURDANI YA UKWELI LAKINI UKWELI HALISI JIONEE MWENYEWE HALAFU UTAFAKARI.NAKUTAKIA SABATO NJEMA MKUU.

...Tafakari!!.KAMA UNA JAMBO USISITE KUSEMA.

Maoni 1 :