Mtayarishaji

Morning Star Radio

Alhamisi, Januari 20, 2011

Ngorongoro National Park Tanzania

Maoni 3 :

 1. Weng hatuyajui haya, wengi hawajulishwi juu ya haya, na wengi wenye mamlaka hawajali kujulisha juu ya haya
  WENGI ni WACHACHE waliojikusanya kwa uchache wao na kuamua kufanya lililo moja
  WENGI WANASTAHILI KUSAIDIA KUJULIKANA KWA HILI
  Nami nitawajulisha wengi
  Blessings

  JibuFuta
 2. Ahsante kwa Taswira hiyo ya Ngorongoro Tanzania tuna asilimali nyingi za kujivunia.

  JibuFuta
 3. Maisha na mafanikio huwa na maana baada ya kupitia changamoto mbali mbali, hivi ndivyo uhakika wa kila jambo unavyokamilishwa.

  Nina washukuru ila nipo mawazoni ndani.

  JibuFuta