Ni mtu anayechukua hatua ya kufanya myenendo ya rekodi za muziki, ambaye anataka kufanana kabisa na mwongozaji wa filamu pale anachokua hatua ya kuongoza filamu. Mtayarishaji wa muziki husaidia
|mwanamuziki|wanamuziki
na wasanii wanaofanya rekodi zao za nyimbo moja-moja au albamu iliyokamili.
Mwongozaji ni mtu anayetoa msaada wa kuongoza pindi mtu anapoigiza filamu. Wanaangalia vitu vya kisanii visiende kombo. Wanatoa maelekezo kwa waigizaji na kuongoza watu katika uigizaji wa filamu.
wa filamu yeye ndiyo anayochukua jukumu zima la wanachama wanaofnya kazi ya uigizaji (waigizaji, watayrishaji, na kadharika). Kwa mfano, mtu yule ambaye anashughulika na taa anamwambia mtindo gani unaotakiwa taa imulikwe pindi yeye anapotoa maelekezo kwa waigizaji.
Ni kawaida sana kwa waongozaji wa filamu kufanya kazi pamoja na mtayarishaji. Mtayarishaji wa filamu ni mtu asiyehusika na upande wa kisanii wakati wa utengenezaji wa filamu. Kwa mfano, wao ndiyo wanaoshikiria fedha zote ambazo zinatumika kwa ajili ya utengenezaji wa filamu.
Asante kwa shule Mkuu!
JibuFuta