tag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post8979577710016072060..comments2023-10-24T12:51:28.075+03:00Comments on Mtayarishaji: KIPOFU ALIYEPEWA TOCHI AITUMIE WAKATI WA GIZA...TANZANIA YANGU.Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/09079424752111234635noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post-32620818253456670572011-03-03T15:23:09.241+03:002011-03-03T15:23:09.241+03:00KWA UJUMLA WAKE:
Inatia hofu ingawa hili halioneka...KWA UJUMLA WAKE:
Inatia hofu ingawa hili halionekani kuwa tatizo la kitaifa kama tunapoangalia jamii yetu itamezwa na mila na desturi bomu zinazoletwa na ama vyombo vya habari bila uthibiti yakinifu.

Nakushukuru sana Emu-Three kwa mbinu hii iliyosafarini, japo kuwa kuna hisia zisizokuwa na umbo miongoni wenye fikra mgando Huenda sisi kwa kile tukionacho kama`ujanja' wetu tumeamua kufumba macho pasipo kujielewa. Ni sawa na KUFA KWA KIU HUKU UNAOGA ZIWANI. Nitakuja na kitu hicho hivi karibuni, natayarisha mswada.

Mzee wa changamoto, kwa changamoto unazozidi kuleta, vyovyote vile utakavyo ama unavyowiwa kufanya kwa lengo la kuijenga jamii fanya, ikiwa ni kwa njia ya facebook kuwa huru KAKA kuendeleza, kila wazo lililo katika jambo ni vyema liwe bayana.

Hatuna budi kujiuliza hivi tunakwenda wapi?

"HOW MANY MILES TO H E A V E N...!!!!!".Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/00626584051542002466noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post-82040010932048180732011-03-03T13:29:46.607+03:002011-03-03T13:29:46.607+03:00Duh!!! Kaka unasema umeiendeleza hii lakini naamin...Duh!!! Kaka unasema umeiendeleza hii lakini naamini ulichofanya ni zaidi ya kuiendeleza. UMEFAFANUA KUTOKA PEMBE AMBAYO SIKUWAHI KUIONA NA NIMEELIMIKA MNO.
Nashukuru kwa kushirikiana kwenye kuelimisha jamii, nami naenda waarifu WAUNGWANA kupita na kuchota maarifa.
Lakini tatizo linabaki palepale kuwa TUMEKUWA WAJINGA NA WAVIVU WA KUSOMA. Ndio maana naandika makala mengine kuhusu ndugu zangu "waandishi wa habari" ambao wamekuwa wavivu wa kusoma na wanataka kuandika, hawasikilizi lakini wanataka kutangaza. Hawa (WAANDISHI WA HABARI) NDIO CHACHU YA UJINGA NCHINI MWETU.
Naamini tutazidi kushrikiana kuweka mambo sawa kwa manufaa ya jamii nzima
BARAKA KWAKO KAKA na kama hutajali, wacha nikaiweke kwenye wall yangu ya Facebook ili wengi waione na kuirejeaMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post-87132193933691667662011-03-03T12:43:13.489+03:002011-03-03T12:43:13.489+03:00Hoja makini mkuu, nashukuru kwa muendelezo wake, n...Hoja makini mkuu, nashukuru kwa muendelezo wake, nami naogopa kutia doa, kwani nakumbuka sana mwalimu wangu wa ecomics, ambaye licha ya kulifundisha hilo somo kwa ufasaha lakini pia alikwa akilitumia katika maisha yake, Ipo siku alituambia;
'Niwaulize wanafunzi hivi ukiwa gizani unafumba macho au unayafumbua?' Tukajibu kuwa tunafumbua utaonaje ...'
'Giazani unaona?' akatuuliza
'Hata kama huoani, lakini macho yatazoea giza' akajibu mtaalamu wa mambo
'Kweli nyie hamaiva ki-uchumi, ukiwa kwenye giza totoro, ufumbe macho usifumbe, hutaona, sasa kwanini upoteze `carlos'...nguvu za akili na mwili, kwa kuangalia wakati hutaona. Inabidi ufumbe macho yako, ili nguvu nyingi zisitumike, utakuwa uma`save' some energy'
Sijui mkuu umenielewa nini ninataka kusema?
Huenda sisi kwa kile tukionacho kama`ujanja' wetu tumeamua kufumba macho, kwasababu tuyafumbe au tuyafumbue `hatujui na hatuoni tofauti' ....masikini wee...wenzetu wanafikiria kuishi sayari nyingine, sisi tupo katika `kukariri na kuiga, matapishi ya wenzetu!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com