tag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post4549840693588192718..comments2023-10-24T12:51:28.075+03:00Comments on Mtayarishaji: Dunia Isiyo na Njaa...KILIMO KWANZA!?.Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/09079424752111234635noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post-54496677592957177032011-03-18T22:02:38.765+03:002011-03-18T22:02:38.765+03:00Mada inaendelea kuniwazisha!:-(Mada inaendelea kuniwazisha!:-(Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post-50387865251313522712011-03-18T00:56:24.134+03:002011-03-18T00:56:24.134+03:00Nanukuu "Ninyi waalimu na viongozi lakini pia...Nanukuu "Ninyi waalimu na viongozi lakini pia wazazi na wananchi kwa ujumla tunaweza kusaidia katika kuleta mabadiliko kupitia utoaji wa habari, kushirikiana katika habari, kuhimiza kushiriki na kuonesha vijana kuwa wana jukumu muhimu la kutekeleza katika kupata dunia isiyo na njaa"mwisho wa kunukuu:- Ni kweli kabisa sisi wazazi/walezi ni walalimu wa kwanza au niseme inabidi tuwa njia moja na waalimu ili wapate nguvu.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post-5739584178116017292011-03-17T20:59:29.166+03:002011-03-17T20:59:29.166+03:00Njaa ni hatari sana inauwa maendeleo yote!! matuma...Njaa ni hatari sana inauwa maendeleo yote!! matumaini,amani,upendo na kujiamini.<br /><br />Asante kaka kwa mada njema!<br />Basi tuungane pamoja kwa kusaidiana iwe kwa mali au maarifa!.Rachel Siwahttps://www.blogger.com/profile/03819895731823514877noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post-91268049278096736222011-03-17T11:12:21.271+03:002011-03-17T11:12:21.271+03:00Kaka nilishawahi kuwa nawe hapo Morning Star ila s...Kaka nilishawahi kuwa nawe hapo Morning Star ila sikukaa sana nikahamia media nyingine hapa Dar. Katika dunia kaka kunamatatizo mengi sana, watu wanapata shida kila siku, siku hizi dunia imekuwa uwanja wa fujo cha msingi ni kumgeukia MunguFita Lutonjahttps://www.blogger.com/profile/03789415919309665836noreply@blogger.com