tag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post2362734795312422512..comments2023-10-24T12:51:28.075+03:00Comments on Mtayarishaji: MAJIBU YAFANYAYO KAZI...SIKU YA KWANZA.Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/09079424752111234635noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post-21551097712390771832011-04-07T17:00:53.913+03:002011-04-07T17:00:53.913+03:00SIKU YA KWANZA
Ni neno tu japo linamaana na uzito ...SIKU YA KWANZA
Ni neno tu japo linamaana na uzito wake kulingana na mazingira halikadhalika nyakati.
Wewe siku ya kwanza kuingia shule unaikumbuka?
Je siku ya kwanza kutongoza!!

Huwa wakati mwingine najiuliza hivi siku ya kwanza mimi kucheka ilikuwaje!! sijapata jibu bado na hata nilipomuuliza mama hakunipa jibu la kuridhisha kulingana na mtizamo niliokuwa nao.

Bado na itazidi kuwa bado siku ya kwanza kuingia mbinguni itafanana na siku ya kwanza ya mtu anayefika Marekani au ulaya kwa ujumla?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/00626584051542002466noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3816174240175861577.post-67677668387787611622011-04-04T05:21:30.850+03:002011-04-04T05:21:30.850+03:00Bwana Mtayarishaji,
Siku ya kwanza ni siku ambayo...Bwana Mtayarishaji,

Siku ya kwanza ni siku ambayo kwa ukweli imekuwa na changamoto kubwa. Hutufanya tuwe na maisha ya kihistoria, hasa baada ya kufikiria tulivyohisi katika siku ile ya kwanza. Hivi fikiria siku ya kwanza kukanyaga ardhi ya Mbinguni; tutajisikiaje? Tena hasa baada ya kukubali ukweli kwamba tutaishi kwa furaha hiyohiyo milele! Siku ya kwanza!Filipo Lubuahttps://www.blogger.com/profile/11215759514378989549noreply@blogger.com